Nimetongozwa na Mwalimu wa kike

Nimetongozwa na Mwalimu wa kike

Usijaribu...weee. Pona na kaa vizuri kwanza. Jijenge, simamia watoto wako mwenyewe. As long as umetoka kutengana na mwanamke na huyu nae ni mwanamke. Utakaribisha drama na hiz zitakumaliza maana kazi ya kudeal na mwanamke mwngne mpya na akuletee visanga akati wewe tayari umevikimbia huko..nehii. Afu kwa sabbu amejua mapito yako anataka kwenda na upepo. Jitafute upya ndo uanze kuwaza sketi.

Umeongea Point Sana
huyu Bundakwetu ngoja anogewe kwa wanawake wa Kimakonde ndio atajua hajui!
Yaani baada ya Kuangalia Maisha Kwanza Eti….
Nimeshindwa hata Kuendelea ngoja Nimuache kwanza Aingie Mkenge ndio nije Nimpe Ushauri
 
Habari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa. Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya kushindwana na mama yao na mimi kuamua kumuachia mji na kuanza upya, sasa niliona baada ya kufanikiwa kuwahamisha shule toka kule Mwanza hadi hapa Morogoro na hawa ni watoto wa kike na niwadogo bado mkubwa ana miaka 11 na mdogo miaka 8 basi hapa shuleni wanaposoma kwa sasa nikaona ni bora niwakabidhishe kwa mwalim ambae anafundisha shule hiyo wanaposomea watoto wangu, na huwa anakuja hapa nyumbani kwa ajili ya kuwafundisha masomo ya ziada (Tution) na nilishamsimulia mkasa wangu na mke tuliyeachana na akanipa pole nyingi sana, nirudi kwenye mada sasa baada ya kumpigia kuwa nimeambiwa na watoto kuwa nikifika nimpigie nikafanya hivyo na Madam kaja kwakweli amefunguka mwanzo mwisho kuwa ananipenda na yupo tayar kuanzisha mahusiano na ikibidi tuoane kabisa, yeye ni mwenyeji wa Lindi na ni muajiriwa wa serikali Mwalimu na hajazaa na hana mume wala mchumba, kiukweli sijampa jibu nimemwambia ngoja nitafakar kwakuwa sina hamu tena ya kuoa kwa sasa, na amesisitiza kuwa hawa watoto wangu wanahitaji malezi ya mama ambae ni yeye kiukweli nipo njia panda sijampa jibu la ndio au hapana, ila kiujumla yeye na watoto wangu wako vizur sana sijajua nimkubalie au vipi na Madam ananiambia ananitegemea nitampa jibu zuri nipo njia panda sijajua nimjibu nini Madam.
Mle kimasihara tu
 
Daah
 
Mungu akupe nini
 
Y

Shida itaanza akiwapata wa kwake ndo utajua
 
Asikushikinikize kuandika cheti cha ndoa. Muishi hivyo hivyo km wazee wetu wa zamani.
 
mkubalie kaka maisha ndo ayo ukimkatalia dunia utaiona chungu hii
 
Ulijitangaza vibaya sana kwake mpaka akajua jimbo liko wazi hivyo katangaza nia tu .

Uwe na msimamo dhabiti natamani wanao mpaka wajitegemee ndiyo uanze safari nyingine ya maisha .

Nakushauri mwambie kama hatojali muwe marafiki mpaka watoto wamalize vyuo ndo utamuoa , akifrit jua siyo mke , kajua jimbo liko wazi tu , na huko jua ashalizwa

Waweza kumuuliza kama ni bikra ????

Wengi wanajifanya malaika ili tu alipize kisasi kwa yule aliyemuumiza tena walimu hiiiii acha tu

Mie ndo usiseme

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa.

Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya kushindwana na mama yao na mimi kuamua kumuachia mji na kuanza upya, sasa niliona baada ya kufanikiwa kuwahamisha shule toka kule Mwanza hadi hapa Morogoro na hawa ni watoto wa kike na niwadogo bado mkubwa ana miaka 11 na mdogo miaka 8 basi hapa shuleni wanaposoma kwa sasa nikaona ni bora niwakabidhishe kwa mwalim ambae anafundisha shule hiyo wanaposomea watoto wangu, na huwa anakuja hapa nyumbani kwa ajili ya kuwafundisha masomo ya ziada (Tution) na nilishamsimulia mkasa wangu na mke tuliyeachana na akanipa pole nyingi sana,

Nirudi kwenye mada sasa baada ya kumpigia kuwa nimeambiwa na watoto kuwa nikifika nimpigie nikafanya hivyo na Madam kaja kwakweli amefunguka mwanzo mwisho kuwa ananipenda na yupo tayar kuanzisha mahusiano na ikibidi tuoane kabisa, yeye ni mwenyeji wa Lindi na ni muajiriwa wa serikali Mwalimu na hajazaa na hana mume wala mchumba, kiukweli sijampa jibu nimemwambia ngoja nitafakar kwakuwa sina hamu tena ya kuoa kwa sasa, na amesisitiza kuwa hawa watoto wangu wanahitaji malezi ya mama ambae ni yeye kiukweli nipo njia panda sijampa jibu la ndio au hapana, ila kiujumla yeye na watoto wangu wako vizur sana sijajua nimkubalie au vipi na Madam ananiambia ananitegemea nitampa jibu zuri nipo njia panda sijajua nimjibu nini Madam.
mkubalie bahati hiyo mshahara, plus kishkwambi, mbunye unataka Mungu akupe nini sasa 😂
 
"nimemwambia ngoja nitafakar"

Mwanaume wa kwanza tangu dunia iumbwe. Unafaa kwenda 77 kwenye maonesho mkuu.

Yaan mm ningekula mbususu kwanza hafu tafakuri ndio ianze
 
Usijaribu...weee. Pona na kaa vizuri kwanza. Jijenge, simamia watoto wako mwenyewe. As long as umetoka kutengana na mwanamke na huyu nae ni mwanamke. Utakaribisha drama na hiz zitakumaliza maana kazi ya kudeal na mwanamke mwngne mpya na akuletee visanga akati wewe tayari umevikimbia huko..nehii. Afu kwa sabbu amejua mapito yako anataka kwenda na upepo. Jitafute upya ndo uanze kuwaza sketi.
Wakati anajitafuta atakuwa anapiga wapi mashine?
 
Wanawake wa ukanda wa kusini si watesaji wa watoto wa Kambo

Pili ninkweli hana mtoto maan kanda hizo kiasi huzalia Nyumbn labda awe mkristo

Mpokee Taratbu ukiw unamchunguza mwambie tuanze Kimyah Kimyah mkiw mnasomana
 
Back
Top Bottom