Nimetongozwa na Mwalimu wa kike

Nimetongozwa na Mwalimu wa kike

Kwasababu hiyo mwanamke bado haja zaa amkubali tu, ila amchunguze vizuri yeye na familia yake isije kuwa kashazaa mtoto yupo kwa bibi, halafu wanawake wa pwani hawa tabia ya kutesa watoto kwasababu wamezoea maisha ya wazazi kuachana na wanawake kuishi na watoto wa mama mwingine, kwakua amesema huyo mwanamke ni mtu wa Lindi hakuna shida kwenye kuishi na watoto.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Atajua yeye ila Kwangu namwomba Mungu watoto wangu wasitunzwe na mama au baba wakambo kipindi nikiwa nak saizi wapo kiunoni
 
Oa haraka sana huyo madam,mabinti wa huo mkoa huwa ni wastaarabu na wenye huruma sana.Kuhusu uno-feni hiyo ni sifa yao ya nyongeza.
 
Habari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa. Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya kushindwana na mama yao na mimi kuamua kumuachia mji na kuanza upya, sasa niliona baada ya kufanikiwa kuwahamisha shule toka kule Mwanza hadi hapa Morogoro na hawa ni watoto wa kike na niwadogo bado mkubwa ana miaka 11 na mdogo miaka 8 basi hapa shuleni wanaposoma kwa sasa nikaona ni bora niwakabidhishe kwa mwalim ambae anafundisha shule hiyo wanaposomea watoto wangu, na huwa anakuja hapa nyumbani kwa ajili ya kuwafundisha masomo ya ziada (Tution) na nilishamsimulia mkasa wangu na mke tuliyeachana na akanipa pole nyingi sana, nirudi kwenye mada sasa baada ya kumpigia kuwa nimeambiwa na watoto kuwa nikifika nimpigie nikafanya hivyo na Madam kaja kwakweli amefunguka mwanzo mwisho kuwa ananipenda na yupo tayar kuanzisha mahusiano na ikibidi tuoane kabisa, yeye ni mwenyeji wa Lindi na ni muajiriwa wa serikali Mwalimu na hajazaa na hana mume wala mchumba, kiukweli sijampa jibu nimemwambia ngoja nitafakar kwakuwa sina hamu tena ya kuoa kwa sasa, na amesisitiza kuwa hawa watoto wangu wanahitaji malezi ya mama ambae ni yeye kiukweli nipo njia panda sijampa jibu la ndio au hapana, ila kiujumla yeye na watoto wangu wako vizur sana sijajua nimkubalie au vipi na Madam ananiambia ananitegemea nitampa jibu zuri nipo njia panda sijajua nimjibu nini Madam.
Sasa mtu anakuja kwako kufundisha tuition alfu awaambie watoto wako Bab enu akirudi wampigie simu ,Kuna kauongo hapa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa. Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya kushindwana na mama yao na mimi kuamua kumuachia mji na kuanza upya, sasa niliona baada ya kufanikiwa kuwahamisha shule toka kule Mwanza hadi hapa Morogoro na hawa ni watoto wa kike na niwadogo bado mkubwa ana miaka 11 na mdogo miaka 8 basi hapa shuleni wanaposoma kwa sasa nikaona ni bora niwakabidhishe kwa mwalim ambae anafundisha shule hiyo wanaposomea watoto wangu, na huwa anakuja hapa nyumbani kwa ajili ya kuwafundisha masomo ya ziada (Tution) na nilishamsimulia mkasa wangu na mke tuliyeachana na akanipa pole nyingi sana, nirudi kwenye mada sasa baada ya kumpigia kuwa nimeambiwa na watoto kuwa nikifika nimpigie nikafanya hivyo na Madam kaja kwakweli amefunguka mwanzo mwisho kuwa ananipenda na yupo tayar kuanzisha mahusiano na ikibidi tuoane kabisa, yeye ni mwenyeji wa Lindi na ni muajiriwa wa serikali Mwalimu na hajazaa na hana mume wala mchumba, kiukweli sijampa jibu nimemwambia ngoja nitafakar kwakuwa sina hamu tena ya kuoa kwa sasa, na amesisitiza kuwa hawa watoto wangu wanahitaji malezi ya mama ambae ni yeye kiukweli nipo njia panda sijampa jibu la ndio au hapana, ila kiujumla yeye na watoto wangu wako vizur sana sijajua nimkubalie au vipi na Madam ananiambia ananitegemea nitampa jibu zuri nipo njia panda sijajua nimjibu nini Madam.
Huyu mmulike kwanza mbona simple njoo PM nikupe mbinu, na baadae una majibu live ya jinsi alivyo.
 
Hivi unagombanaje na mwanamke afu unamwachia kila kitu,au Mimi bado ni mvulana
 
Mwambie hapana ,hakuna mama wakamboo aliyewapenda watoto wa nje
Uliyosema siyo kweli. Wapo mama wa kambo ambao huwezi tofautisha jinsi wanavyowapernda watoto wa kambo na watoto wao wa kuzaa, hivyo hivyo na baba wa kambo pia.
 
Hivi unagombanaje na mwanamke afu unamwachia kila kitu,au Mimi bado ni mvulana
Ningeendelea kuitaka ile nyumba ya Mwanza huenda ningekuwa gereza la Butimba au Ningeshazikwa Mungu ni mwema nimemuachia vyote nipo na amani na watoto wangu
 
Usijaribu...weee. Pona na kaa vizuri kwanza. Jijenge, simamia watoto wako mwenyewe. As long as umetoka kutengana na mwanamke na huyu nae ni mwanamke. Utakaribisha drama na hiz zitakumaliza maana kazi ya kudeal na mwanamke mwngne mpya na akuletee visanga akati wewe tayari umevikimbia huko..nehii. Afu kwa sabbu amejua mapito yako anataka kwenda na upepo. Jitafute upya ndo uanze kuwaza sketi.

Sketi !!!?? 😏😏, kumbe hilo ni jina jingine la wanawake!!
 
we ni vile vitoto vilivyovamia JF hujui hata maana ya mke wala mtoto. Angalia utoto uliouandika. Anyway watakuchangia watoto wenzio mambo uliyoyaandika ni ya kusadikika. Eti amekutongoza, we kwa huo utoto wako hata ungemtongoza mwalimu hakuna atakayekukubalia
Aisee inasikitisha sana wewe kuwa na makasiriko ya mimi kutongozwa na Madam🤔
 
Habari zenu wakuu, leo nimerudi kutoka mishe mishe zangu za ufundi, ile nafika nyumbani baada ya watoto wangu kunipokea na kusalimiana nao mwanangu akaniambia baba Mwalim Joyce amesema ukifika umpigie anashida na wewe nikamjibu sawa. Ikumbukwe mimi ninaishi na mabinti zangu wawili baada ya kushindwana na mama yao na mimi kuamua kumuachia mji na kuanza upya, sasa niliona baada ya kufanikiwa kuwahamisha shule toka kule Mwanza hadi hapa Morogoro na hawa ni watoto wa kike na niwadogo bado mkubwa ana miaka 11 na mdogo miaka 8 basi hapa shuleni wanaposoma kwa sasa nikaona ni bora niwakabidhishe kwa mwalim ambae anafundisha shule hiyo wanaposomea watoto wangu, na huwa anakuja hapa nyumbani kwa ajili ya kuwafundisha masomo ya ziada (Tution) na nilishamsimulia mkasa wangu na mke tuliyeachana na akanipa pole nyingi sana, nirudi kwenye mada sasa baada ya kumpigia kuwa nimeambiwa na watoto kuwa nikifika nimpigie nikafanya hivyo na Madam kaja kwakweli amefunguka mwanzo mwisho kuwa ananipenda na yupo tayar kuanzisha mahusiano na ikibidi tuoane kabisa, yeye ni mwenyeji wa Lindi na ni muajiriwa wa serikali Mwalimu na hajazaa na hana mume wala mchumba, kiukweli sijampa jibu nimemwambia ngoja nitafakar kwakuwa sina hamu tena ya kuoa kwa sasa, na amesisitiza kuwa hawa watoto wangu wanahitaji malezi ya mama ambae ni yeye kiukweli nipo njia panda sijampa jibu la ndio au hapana, ila kiujumla yeye na watoto wangu wako vizur sana sijajua nimkubalie au vipi na Madam ananiambia ananitegemea nitampa jibu zuri nipo njia panda sijajua nimjibu nini Madam.
Una subiri nini?
 
Mwalimu amejibu lile swali la Eminem kwenye intro ya lose yourself[emoji16].
"If you had...one shot...or one opportunity..... to seize everything you ever wanted in one moment....would you capture it or let it slip?"

NB: Hivyo vinukta ni ile sehemu ya beat.
 
Usijaribu...weee. Pona na kaa vizuri kwanza. Jijenge, simamia watoto wako mwenyewe. As long as umetoka kutengana na mwanamke na huyu nae ni mwanamke. Utakaribisha drama na hiz zitakumaliza maana kazi ya kudeal na mwanamke mwngne mpya na akuletee visanga akati wewe tayari umevikimbia huko..nehii. Afu kwa sabbu amejua mapito yako anataka kwenda na upepo. Jitafute upya ndo uanze kuwaza sketi.
Noma sana!
 
Back
Top Bottom