Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
 
Moderator rekebisheni heading hapo pasomke NImetonywa
Anarudi bench this time
 
IMG-20240521-WA0135.jpg
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Moderator rekebisheni heading hapo pasomke NImetonywa
Paul Makonda mwisho wako umefika.
 
Kwenye haya maisha, omba sana Mungu akuwezeshe ufike stage ya SUPEREGO....

Hii ndiyo highest level of personality awareness..

Shida ya Konda boy ana EGO kubwa, na kwa kiongozi kuwa na big ego ni hatari maana utayakanyaga tuu..

Screenshot_2024-05-24-22-47-09-104_com.android.chrome-edit.jpg
 
Back
Top Bottom