MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Inawezekana 'Kazi ilikuwepo'mhh mpaka mama etu kavua ushungi ujue "kazi ipo"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana 'Kazi ilikuwepo'mhh mpaka mama etu kavua ushungi ujue "kazi ipo"
Ukiidharau silaha hizi muhimu (hekima & busara) katika maisha ya kawaida na ya kila siku na hususani ukiwa kiongozi wa watu, basi hufiki popote hata uwe mjanja kiasi gani.Hakuna hekima kwenye ujinga.
Mtu mjinga unapasuka nae jumla jumla.
Hekima kanisani huko na kwenye jumuia za mtakatifu petro.
Wewe umefika wapi zaidi ya kutetea majizi na upumbafu?Ukiidharau silaha hizi muhimu (hekima & busara) katika maisha ya kawaida na ya kila siku na hususani ukiwa kiongozi wa watu, basi hufiki popote hata uwe mjanja kiasi gani.
Kinyume cha "hekima" ni "ujinga". Unaikataa hekima, basi wewe ndiye hasaaaa mjinga...
Baba yenu Magufuli yuko wapi? Kama unafikiri ni "mapenzi ya Mungu", umechanganyukiwa. Huyo alijiua mwenyewe kwa ujinga wake..
Yaani hatoboi this time, badala yake atatoboka.Mbona mnatumia nguvu nyingi? Kwahiyo hiyo kauli ndo udhalilishaji?
Watizedi mnatabu sana
Sijawahi kutetea majizi ya CCM akiwemo Makonda hata kwa dakika moja tu!!Wewe umefika wapi zaidi ya kutetea majizi na upumbafu?
Maulid Kitenge atakavyosoma gazeti la Mwanahlisi kesho: "MAKONDA AKALIWA KOONI NA LHRC.
Huyu mtu hua hakui
You can easily tell she was lying.
Na alishawaambia wala hayuko pale kulinda kiti chake so hana shida na issues za uteuzi na kutenguliwa kabisa.Hii wiki ngumu sana kwetu wanawake, huku tunasimangwa kwa yaliyomkuta Penina, huku tunadhalilishwa!
Yatapita tu.
Biteko ndio wa kutolea mfano? Nini ameachivu biteko toka awe waziri, tofautisha hulka ya mtu anayefaa kuongoza kanisani au msikitini na kiongozi anayefaa kuongoza jamii inayolia kwa wizi na ukandamizaji..kuna tabia mbaya kabisa inaendelea kuota mizizi ya kuteua na kuwapa madaraka watu wasio na uwezo wa kuamua..kwa sifa eti ni wanyenyekevu..ujinga usio kifani! Lengo hasa ni kutopenda watu independent kwenye maamuzi, tukiwaacha hawa wajinga waliolewa madaraka, kuendelea kuteua watu aina ya biteko, bashungwa, ndumbaro mongella, mchengerwa...nchi hii itaishia kuwa watumwa wa mataifa mengine..!Binasfi nimesikitika mno!
Kwa nini asijifunze hata kwa biteko!
Safari yake naamini kabisa sio ndefu upande wa siasa na uongozi.
Kwa hizi akili zako hustahili hata kuwa mwenyekiti wa mtaa.Serious gani wewe, majitu majizi na mazembe lazima yacharazwe viboko.
Hapo makonda aendelee kushikilia gia na kuwapelekea moto mpaka washike adabu.
Mmezoea uvivu na kudekezwa.
Huyu alichanganya mambo alikuwa anamaanisha garage
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.
Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.
Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Moderator rekebisheni heading hapo pasomke NImetonywa
Hakuna binadamu mwenye utu anaeweza kuangalia hii clip hadi mwisho.Dada wa watu kajibu kistaarabu kabisa..... Konda boy akawa anamuingilia kabla hajamaliza ili tu amchanganye..
Tatizo la watumishi wengi wa umma ni wazembe na wavivu ndio maana hawatimizi majukumu yao. Inapotekea ufuatiliaji kama hivi, ndio anabaki ang'ata ulimi tu. Hata kujieleza anashindwa. Mnalea uzembe.