Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Nimesikia kamwambia " Ongea vizuri na onaongea na wananchi". Sioni swala la uwanamke. Hata mwanaume angeongea kwa sauti ya chini, pia nae angeambiwa hivyo hivyo" Ongeza sauti unaongea na wananchi"

Shida sijaiona . tuchape tu kazi jamani tuache visababu.
 
Leo kwa mara ya kwanza naungana na wengine wote dhidi ya huyu RC. That was so wrong. Kiongozi gani unavuka mipaka kiasi kile? Na kapitia hadi mafunzo ya uongozi huyu, ila hamna mabadiliko yoyote. Idea yake ilikuwa nzuri kweli, ila namna anavyowadhalilisha watumishi wa umma hapana kwa kweli. Anavuka mipaka.

Na wewe uko kwenye ushirika wa wazembe?
 
Ufisadi waanze kupeana shombo huko chamani kwao akiwemo na yeye. Hayo sio majibu yakumjibu mtu mbele ya hadhara. Uwajibishwaji upo bila kumtoa mtu utu wake.
Kabisa na watu wasihamishe goli apa...sisi tunakemea kitendo cha kumdhalilisha yule dada.mambo ya kusema una mke mzuri pale yaliingiaje???unaweza ukawajibisha bila kudhalilisha na uongozi wa jinsi ile umepitwa na wakati.chachu kidogo huchachua donge zima hivyo hafai awekwe pembeni
 
Wekeni uzi huu kwenye kumbukumbu zenu, mrithi wa hulka za marehemu amekalia kuti kavu.

Aliyemteua hajaitazama mara mbili clip ya udhalilishaji aliofanyiwa yule mtumishi wa kike wa Longido. Amekwazika sana.

Amehurumiwa mara nyingi sana ktk kauli zake, lkn Not This Time.
Endelea kutonywa tu
 
Itasaidia nini? Tija ni nini? Msituvurugie culture yetu sisi hatunaga hizo
 
Back
Top Bottom