Tetesi: Nimetonywa, kuwa anayefuata nyayo za Hayati analiwa kichwa kwa alichokifanya Longido

Nimesikia kamwambia " Ongea vizuri na onaongea na wananchi". Sioni swala la uwanamke. Hata mwanaume angeongea kwa sauti ya chini, pia nae angeambiwa hivyo hivyo" Ongeza sauti unaongea na wananchi"

Shida sijaiona . tuchape tu kazi jamani tuache visababu.
 

Na wewe uko kwenye ushirika wa wazembe?
 
Ufisadi waanze kupeana shombo huko chamani kwao akiwemo na yeye. Hayo sio majibu yakumjibu mtu mbele ya hadhara. Uwajibishwaji upo bila kumtoa mtu utu wake.
Kabisa na watu wasihamishe goli apa...sisi tunakemea kitendo cha kumdhalilisha yule dada.mambo ya kusema una mke mzuri pale yaliingiaje???unaweza ukawajibisha bila kudhalilisha na uongozi wa jinsi ile umepitwa na wakati.chachu kidogo huchachua donge zima hivyo hafai awekwe pembeni
 
Endelea kutonywa tu
 
Itasaidia nini? Tija ni nini? Msituvurugie culture yetu sisi hatunaga hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…