Nimetukaniwa Mzazi wangu kwa SMS, Naombeni Muongozo!

Nimetukaniwa Mzazi wangu kwa SMS, Naombeni Muongozo!

Kuna mambo matatu unaweza kufanya hapa.. Kutenga kiasi kadhaa na kwenda Polisi ambao wao kwa kuwezeshwa wataweza kumfikia huyo jamaa ambae lazima sasa ataogopa baada ya kuona Polisi wamehusishwa..

Au unaweza kuchukua matters in ur own hands.. tafuta watu wachache wakamfunze adabu kwa adabu kwa kipigo maana ni mshenzi..

Au unyamaze kimya na kuendelea kum-ignore..

Na hii itategemea na mambo matatu pia... Mwenye matusi ana mahela kumzidi aliyetukanwa.... atachemka

Mwenye mitusi kama ni mtoto wa mujini aka pedeshee kumzidi aliyetukanwa.... atachemka

Mwenye mitusi akiamua pia kukaa kimya baada ya mitusi... kama mgomvi ni aliyetukanwa... atachemka (kama tayari kishaanza kuchemka kwa kuja kulialia hapa wakati labda jamaa huko halina hata habari)
 
Raha ya watu wa aina hiyo ni kumu ignore.Mie huwa ukinitusi naumia nakuacha.
Na matusi huwa hayana ukweli BALI ni mtukanaji anaufurahisha moyo wake.
Ukiyaweka moyoni unampa credits
 
Wakuu habari!

Nimetukaniwa Mzazi wangu, matusi ya nguoni, kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu! Aliyenitukana tupo naye mbali kijiografia. Yeye yupo mji mwingine mbali na mimi, wakati mimi nipo mkoa mwingine lakini pia kijijini kabisa!

Kwa heshima ya Mzazi wangu, naweza kutumia njia gani, yaani nianzie wapi kulingana na hii sheria mpya ya matumizi ya mitandao (Cyber Crime)?

Ahsanteni, mbarikiwe sana!

Wazazi wengine wanastahili Mitusi!

Na hii itategemea na mambo matatu pia... Mwenye matusi ana mahela kumzidi aliyetukanwa.... atachemka

Mwenye mitusi kama ni mtoto wa mujini aka pedeshee kumzidi aliyetukanwa.... atachemka

Mwenye mitusi akiamua pia kukaa kimya baada ya mitusi... kama mgomvi ni aliyetukanwa... atachemka (kama tayari kishaanza kuchemka kwa kuja kulialia hapa wakati labda jamaa huko halina hata habari)

Sasa ikiwa hivi ndo inabidi ukubali unyonge tuu.. kama una asili ya kabila la wanyukololo unajimaliza mwenyewe basi..
 
Ahsanteni wakuu, kwa mawazo, maoni na ushauri wenu!

Angalau nimefahamu kwanini nchi yetu ipo hivi (kutokana na maoni yenu). Acha nikapumzike sasa!
 
Anyway ninavyojua mtu mpaka amporomoshee mtu mwingine matusi ya nguoni huyo anayetukanwa anakuwa kafanya jambo fulani baya mno.Pamoja na kuwa hutaki kusema kwa nini kakuporomoshea matusi mazito siri unaijua wewe.
Hujawahi kutana na waporomoshaji matusi wa JF.....
Kuna watu kutukana kwao ni kama kunywa maji.
 
Wakuu habarNimetukaniwlhabarNimetukaniwllhabarNimetukaniwlhabarNimetNimetukaniwa Mzazi wangu, matusi ya nguoni, kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu! Aliyenitukana tupo naye mbali kijiografia. Yeye yupo mji mwingine mbali na mimi, wakati mimi nipo mkoa mwingine lakini pia kijijini kabisa!

Kwa heshima ya Mzazi wangu, naweza kutumia njia gani, yaani nianzie wapi kulingana na hii sheria mpya ya matumizi ya mitandao (Cyber Crime)?

Ahsanteni, mbarikiwe sana!

Nakushauri USAMEHE Mkuu! Ili kumpalia mkaa!
 
Ahsanteni wakuu, kwa mawazo, maoni na ushauri wenu!

Angalau nimefahamu kwanini nchi yetu ipo hivi (kutokana na maoni yenu). Acha nikapumzike sasa!

Kapumzike mkuu. Hata sisi tumefurahi kujua kwanini nchi yetu iko hivi (kutokana na thread yako)
 
Si amelianzisha...... usimkopeshe.... mpe maneno yake kama alivyokuambia ili kesho asirudie
 
Wewe umenena mkuu, kuna watu wanatoa ushauri mwepesi sana! Yaani mtu awe anakutumia ujumbe wa matusi ya nguoni, tena akimtukana Mzazi wako kila wakati halafu ukae kimya tu?

Siku watoto wkizisoma hizo msgs itakuaje? Well, nipe muongozo kwa mtu niliyeko porini kwasasa, TCRA hawana huduma kwa mtandao?
Watoto wasome msg kwenye simu yako ,wewe wa wapi wewe .Bora ukae huko huko kijijini
 
Back
Top Bottom