OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Kuna mambo matatu unaweza kufanya hapa.. Kutenga kiasi kadhaa na kwenda Polisi ambao wao kwa kuwezeshwa wataweza kumfikia huyo jamaa ambae lazima sasa ataogopa baada ya kuona Polisi wamehusishwa..
Au unaweza kuchukua matters in ur own hands.. tafuta watu wachache wakamfunze adabu kwa adabu kwa kipigo maana ni mshenzi..
Au unyamaze kimya na kuendelea kum-ignore..
Wakuu habari!
Nimetukaniwa Mzazi wangu, matusi ya nguoni, kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu! Aliyenitukana tupo naye mbali kijiografia. Yeye yupo mji mwingine mbali na mimi, wakati mimi nipo mkoa mwingine lakini pia kijijini kabisa!
Kwa heshima ya Mzazi wangu, naweza kutumia njia gani, yaani nianzie wapi kulingana na hii sheria mpya ya matumizi ya mitandao (Cyber Crime)?
Ahsanteni, mbarikiwe sana!
Hahaha, mkuu kwahiyo nimuache tu jamaa aendelee kutamba? Hii si mara yake ya kwanza ujue!
Na hii itategemea na mambo matatu pia... Mwenye matusi ana mahela kumzidi aliyetukanwa.... atachemka
Mwenye mitusi kama ni mtoto wa mujini aka pedeshee kumzidi aliyetukanwa.... atachemka
Mwenye mitusi akiamua pia kukaa kimya baada ya mitusi... kama mgomvi ni aliyetukanwa... atachemka (kama tayari kishaanza kuchemka kwa kuja kulialia hapa wakati labda jamaa huko halina hata habari)
Mkuu hebu jiweke katika position yangu, ungefanyaje ingekuwa wewe? Inaonekana wewe mtu wa mitusi pia!kumbe mnajuana?sa si mkamalizane huko kuliko kutujazia page hapa?
Hujawahi kutana na waporomoshaji matusi wa JF.....Anyway ninavyojua mtu mpaka amporomoshee mtu mwingine matusi ya nguoni huyo anayetukanwa anakuwa kafanya jambo fulani baya mno.Pamoja na kuwa hutaki kusema kwa nini kakuporomoshea matusi mazito siri unaijua wewe.
Wakuu habarNimetukaniwlhabarNimetukaniwllhabarNimetukaniwlhabarNimetNimetukaniwa Mzazi wangu, matusi ya nguoni, kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu! Aliyenitukana tupo naye mbali kijiografia. Yeye yupo mji mwingine mbali na mimi, wakati mimi nipo mkoa mwingine lakini pia kijijini kabisa!
Kwa heshima ya Mzazi wangu, naweza kutumia njia gani, yaani nianzie wapi kulingana na hii sheria mpya ya matumizi ya mitandao (Cyber Crime)?
Ahsanteni, mbarikiwe sana!
Ahsanteni wakuu, kwa mawazo, maoni na ushauri wenu!
Angalau nimefahamu kwanini nchi yetu ipo hivi (kutokana na maoni yenu). Acha nikapumzike sasa!
Watoto wasome msg kwenye simu yako ,wewe wa wapi wewe .Bora ukae huko huko kijijiniWewe umenena mkuu, kuna watu wanatoa ushauri mwepesi sana! Yaani mtu awe anakutumia ujumbe wa matusi ya nguoni, tena akimtukana Mzazi wako kila wakati halafu ukae kimya tu?
Siku watoto wkizisoma hizo msgs itakuaje? Well, nipe muongozo kwa mtu niliyeko porini kwasasa, TCRA hawana huduma kwa mtandao?