Kwa mchezo ulioneshwa na wachezaji wa Simba, kwamba Yanga haikuchezesha mfumania nyavu mpya, na ukuta katili ambao Azamu walifanikiwa kupiga shuti moja tu golini, ni ndoto ya mchana uliyo nayo.Mlitaka mkutane na mwanenu Singida ili awapanulie miguu kama kawaida yenu,mumeula wa chuya,J2 tunawapiga kama ngoma
Tutamaliza huu ubishi j2Kwa mchezo ulioneshwa na wachezaji wa Simba, kwamba Yanga haikuchezesha mfumania nyavu mpya, na ukuta katili ambao Azamu walifanikiwa kupiga shuti moja tu golini, ni ndoto ya mchana uliyo nayo.
Punguza povuSio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku.
Email :integrity@fifa.org
Match fixing shouldn't be tolerated kabisa, toa ushabiki pembeni.
integrity should be respected.
View attachment 2713952
Case number nimepata na password kama wata follow through na my case basi nitaleta mrejesho some day.
Nitumia both emails and portal.
JE NILIREPORT NA INTERPOL SPORT FIXING ??
Kila akifikiria j2 mavi yanagonga chupi na kurudi ndaniMwana utopolo hasira umezihamishia FIFA
Hahahaha[emoji23]Nyie si mlikuwa mnasema mnatutaka?
Ndio mmefikia huku?
Unahitajika ushahidi hasa beyond reasonable doubt. Singida ila game walicheza Kwa nguvu jambalo ambalo limepelekea kufanya makosa mengi mchezoni.[emoji818][emoji419][emoji375]Wala huna Cha maana ulichoandika. Unafikiria FIFA ni kijitaasisi fulani Cha mtaani kwenu? Yaani huna hata evidence na unakuwa guided na mihemko. Mpira ni mchezo wa wazi kabisa ila kama makosa ulikuwa huyaoni, ni wewe. Issue sensitive kama match fixing unaizungumzia kama kishika uchumba. Unahitajika ushahidi hasa beyond reasonable doubt. Singida ila game walicheza Kwa nguvu jambalo ambalo limepelekea kufanya makosa mengi mchezoni.
Popoma wahedi. Kwanza hakuna timu ya Singida FC. Pili kakuna mtu aliyekulazimisha ubeti for Singida FC. Pole, nyumba yako ndiyo imeenda hiyo, FIFA hawatakusaidiaSio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku.
Email :integrity@fifa.org
Match fixing shouldn't be tolerated kabisa, toa ushabiki pembeni.
integrity should be respected.
View attachment 2713952
Case number nimepata na password kama wata follow through na my case basi nitaleta mrejesho some day.
Nitumia both emails and portal.
JE NILIREPORT NA INTERPOL SPORT FIXING ??
Hii barua itaishia kapuni (dustbin) tu. Nachojua Match fixing ni timu kupanga matokeo lakin unacholalamika wewe na wengine ni Refa kupendelea timu mojawapo.Sio kwa ubaya ila i had to send it, haya mambo tukiacha yatatucost sana na evidence nitawambia zipo Azam TV Tanzania. Sio hater ila things like these shouldn't happen in our football league ever, tumetoka huku.
Email :integrity@fifa.org
Match fixing shouldn't be tolerated kabisa, toa ushabiki pembeni.
integrity should be respected.
View attachment 2713952
Hajui maana ya match fixing jazba tu ya kuliwa nyumba inamsumbua. Si unaona alivyoichukulia hii issue so personalHii barua itaishia kapuni (dustbin) tu. Nachojua Match fixing ni timu kupanga matokeo lakin unacholalamika wewe na wengine ni Refa kupendelea timu mojawapo.
Sidhani kama hivi vitu vinahusiana
Walikuwa wanasema tu kumbe moyoni wana hofu! Simba hiyo sasa!Nyie si mlikuwa mnasema mnatutaka? Ndio mmefikia huku?
Tafsiri ya match fixing ni kwamba baadhi ya wachezaji au maofisa wa Singida FG walifanya vitendo vya makusudi ili wapoteze mchezo kwa Simba. Hapo refa hahusiki. Kwa hiyo wataanza na wale waliokosa penati pamoja na Kakolanya aliyeruhusu magoli kuingiacha msingi imetumwa. match fixing sio kitu cha kushabikia
Na wachezaji wanaoshtaki CAS huwa wanapitia TFF?Umepoteza mb zako. Fifa anafanya kazi na wanachama wake mfano CAF, TFF n.k. Hata timu haziwezi kwenda FIFA bila kupitia TFF. Afu hujui unawatuhumu Simba FC ni timu ya wapi? Ni kwa uandishi huu wa barua?Ulichofanya ni kutokujua utaratibu na hivyo Email yako hata haitasomwa
Kwani aliyeanzisha hii thread ndio Jonathan ambaye ndiye genuine Author?Hajui maana ya match fixing jazba tu ya kuliwa nyumba inamsumbua. Si unaona alivyoichukulia hii issue so personal
Hata kamaMPUUZI NA MPUMBAVU ni yule anayeamini kuwa matokeo haya HAYAJAPANGWA.
Muone huyu. Ni vyema mtu asiyejua kitu asiandike kuliko kutuletea mafamba tunaojua. Unadhani CAS ni kilabu cha pombe unaenda tu. Ile ni kama mahakama ya Rufaa kwa mahakama za kawaida, huwezi kuanzia huko. Akili kumkichwaNa wachezaji wanaoshtaki CAS huwa wanapitia TFF?
Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo.