Nimetuma fedha kwenda benki ya Tanzania na zimepotea!

Nimetuma fedha kwenda benki ya Tanzania na zimepotea!

Najua but again it is irrelevant kwa huu uzi





Ukisaidiwa saidika, hizo wiring instructions huwa zipo wazi tu,normally unapata hizo taarifa hata kwa website, lakini mtu keshatuma pesa, hizo details zinamsaidiaje sasa?

attachment nyiiingi hakuna unachoongea, hizo details zitamsaidia mtu ambaye anataka kufanya transaction lakini kama transfer ishafanyika (ambayo ndio mada hapa), hizo zitamsaidiaje ku-Trace?


Ukifundishwa fundishika mdogo wangu, umemaliza form four 2012 nini?

Doh!

Afadhali umejijua wewe ndio moja wa mabenker tunao kutana nao humo kwenye macounter ya bank zetu?

Na lazima ulifeli ndio ukaishia bank maana wengi tu walipata 4 na 0 wamerudi kuanzia certificate za banking huko IFM

Mleta mada alinielewa na like akanigongea

Tumekuelewa umesikika uko kwa banking industry
 
Mwanangu ulisema ungetuma pesa ya kutosha kumbe ndo hii 150,000 za kitanzania? Au unanitania tu ila km kweli basi sipokei....
Ni mimi baba yako natumia jf pia.
 
Pole
sana. Jaribu kuulizia intermediary bank yao ni ipi? Yawezekana ni
Commerzbank ambao ndio nimesikia wameripoti tatizo ktk kufanya transfer
hivyo benki zetu zinazopitisha hela huko zimekwamishwa kwa namna moja au
nyingine. Kama sio hiyo basi endelea kufuatilia kwenye benki yako hadi
kieleweke.
 
Wakuu ahsanteni sana kwa mawazo na michango yenu mizuri ambayo imejaa nia njema tu na uwazi.

Ni hivi juzi tu nilitaarifiwa na benki yangu kwamba ile paundi 60 imerudi na haikuweza kumfikia mtumiwa, kwahio nimepata pesa yangu.

Kama nilivyosema hapo awali kwamba mimi nilikuwa nafanya majaribio kuona kama nnaweza kufanya bank transfer kwenda kwenye akaunti ya mtu yoyote pale Tanzania na ndio maana nilitumia hivyo vijisenti hiyo paundi 60.

Sasa hili suala ni muhimu sana kwa kila mtoa mada kwa sabau wengi wetu tumezoea kutumia Western Union na hatufahamu kama tunaweza siku moja kujaribu kutuma pesa kwenda kwenye benki moja kwa moja.

Western Union kwa sasa barani Ulaya wanatumia njia hii kwani mtumaji huitaji kujiunga na mtandao huo na kufanya transfer mtandaoni bila matatizo.

Sasa kwa mfano nikitaka kutuma fedha kwenda kwenye benki yoyote nyumbani tanzania iwe NMB, NBC au Stanbic si itabidi nijaze details zote husika kuanzia na anuani ya benki na anuani ya mtumiwaji,akaunti ya mtumiwaji, BIC au IBAN na SWIFT CODE.

Au tuchukulie natuma fedha kwenda benki ya AZANIA BIC yao itakuwa ni ADBCTZT1 na SWIFT CODE - AZANTZTZ je kuna masuala mengine tena yanahusika katika kumfikishia mtumiwaji pesa hata kama benki ya ughaibuni imefanya kila jitihada kutuma pesa hii?

Ila naungana kabisa na wachangiaji wengi kwamba iwe ni vijisenti tu pesa kamili iliyoshiba inabidi kutumia WESTERN UNION.
 
Doh!

Afadhali umejijua wewe ndio moja wa mabenker tunao kutana nao humo kwenye macounter ya bank zetu?

Na lazima ulifeli ndio ukaishia bank maana wengi tu walipata 4 na 0 wamerudi kuanzia certificate za banking huko IFM

Mleta mada alinielewa na like akanigongea

Tumekuelewa umesikika uko kwa banking industry

Mkuu watake radhi mabanker! Kama kuna teller mmoja alikuzingua usifanye ujumla wa sekta nzima. Sekta ya benki ni sekta pekee Tanzania ambayo maofisa waandamizi wote lazima wawe na viwango vinavyokubalika na msimamizi wa masuala ya fedha kwa maana Benki Kuu (BOT).
 
Doh!

Afadhali umejijua wewe ndio moja wa mabenker tunao kutana nao humo kwenye macounter ya bank zetu?

Na lazima ulifeli ndio ukaishia bank maana wengi tu walipata 4 na 0 wamerudi kuanzia certificate za banking huko IFM

Mleta mada alinielewa na like akanigongea

Tumekuelewa umesikika uko kwa banking industry

hahaaaaa. . . Watu mwepesi sana. kugongewa like kuna uhusiano upi na tunachozungumza? mbona hata kwangu zimegongwa nyingi tu (hata mtoa huu uzi kanigongea - lakini hii si hoja)

kwamba wewe umeandika JF doesn't make me niwe unavotaka/unavohisi.
 
Yeye ndio anatakiwa awe na TT outward copy, na afanye tracing hukohuko, beneficiary bank hawajapata huo mzigo, sasa unawahusishaje? kwa hili wewe ndio KILAZA na wala sio bankers wa TZ





Unazidi kupotosha watu, hata pound 10 anaweza kutuma, kuna namna tatu ya kuhandle charges, SHA bank charges hugawanywa kwa sender na receiver, OUR bank charges hubebwa na sender na Mwisho BEN ambapo bank charges hupelekwa kwa beneficiary, Sasa kama alienda kwa 2nd option (OUR) manake charges zote zinabebwa na sender, hata kama umetuma pond 10 inafika.





Hata kama uko na hiyo copy, Huku bongo kufanya trace ni kukusaidia tu, kule pesa imetoka ndio trace inatakiwa ifanyike
Aisee, hii sio sawa ndugu. Kwasasa wire transfer ni changamoto sana, pesa inaweza kukufikia hadi baada ya miezi 3
 
nimefanya kazi kwenye kitengo kinachohusika na international Transfers kwa miaka mitano

1. unahitaji kuongea na benki yako, hiyo ya huko nje, ndio wanaweza kukusaidia kwa urahisi, na sio hii ya Dar, pesa hupita benki kadhaa kabla haijafika final destinatination

2. weka hapa swift copy, unaweza kuta msg yenyewe ime-NAK

3.sioni uwezekano wa afisa wa benki kuiba pesa kutoka System ya swift kwa namba hii, pesa lazima ipo

Nina swali bro, mfano umetuma usd 410 , then badala ya kufika milioni inafika laki 9, hayo makato yakoje?
 
Back
Top Bottom