Nimetunukiwa tunda na mtoto wa kizungu guest za Manzese

Hongera umetuwakilisha
 
ZUNGUNOBIA ni Ugonjwa ambao ukimpata mtu anashindwa kutofautisha kati ya mzungu na albino
 
Karibu wana jF kwenye moja na mbili
 

Attachments

  • JamiiForums496695140.jpeg
    56.7 KB · Views: 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi akili za marioo kijana kuwa makini utakua shoga fanya kazi
 
Mkuu kwani tumekukosea nini?mpaka utuletee kahawa nyeusi hivi
 
Wazungu nao wanao akina Mwajuma ndala ndefu na fupi..!! Sema tu umepiga ndala ndefu ya kizungu..!!
 
Hii nchi imejaa vijana wa hovyo sana.

Tatizo ni kuwa vijana mnapenda sana kusifiwa ujinga.

Huu uzi umekaa kishamba sana mkuu, Tafuta kazi za kufanya.
 
CHAI JABA
Katika fikra zako unadhani wazungu wanatembea na hela nyingi kiasi hicho? Wazungu ni kama kina Mwajuma Ndala Ndefu ila wamebarikiwa tu rangi. Kuna wazungu kibao wanadanga na ukienda nchi kama Netherland papuchino zinauzwa kama biashara nyingine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…