CHAI JABA
Katika fikra zako unadhani wazungu wanatembea na hela nyingi kiasi hicho? Wazungu ni kama kina Mwajuma Ndala Ndefu ila wamebarikiwa tu rangi. Kuna wazungu kibao wanadanga na ukienda nchi kama Netherland papuchino zinauzwa kama biashara nyingine tu