Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikuchumu ubebike! Teh teh teh. Jf bw! Hauwezi kufa kwa stress. Mungu vile.Kaja hapa jukwani kujisifia kuwa kawafuata inbobo kawachamba mpaka mmeomba poo! Mtoto wa kike alikuwa kachefukwa leo... Jamani, guseni maslahi mengine, ila ndoa hapana. Hamjui watu wamestrugle vipi mpaka wamewekwa ndani, leo hii mnataka muwavunjie ndoa zao? Ndoa tamu wewe!
Kuna baadhi ya wanaume humu JamiiForums hawana busara hata kidogo
Mzima kiasi.hofu kwako laazizi.mzima lakini
Sasa si ungeweka link ya hilo jiwe tujue lilikuwa kubwa kiasi gani ili tuweze kukadiria maumivu ya huyo jamaa aliekujia inbobo.Kuna Mtu Sina Mazoea Nae Sana Leo Kaja Inbox Baada Ya Kusoma Baadhi Ya Thread Zangu Sijui Jiwe Limempata?
WoyooMna mambo nyie. Tuambie basi na alichokwambia mana inaonekana huna siri.
WoyooMna mambo nyie. Tuambie basi na alichokwambia mana inaonekana huna siri.
Yaani mumy. Kila siku wanataka kutuamshia madude lol. [emoji2]Woyoo
Wakuchapwa hawaYaani mumy. Kila siku wanataka kutuamshia madude lol. [emoji2]
HahaaaaWakuchapwa hawa