Nimetupa Jiwe Gizani Nimesikia Uwii Humu Jf.

Nimetupa Jiwe Gizani Nimesikia Uwii Humu Jf.

weka screen shot hizo tuone hata ukipata ban iwe ya kishujaa sio kurushiana mawe gizani bila kuona hilo povu

nice ban bro
 
Unatafuta like wewe hii hapa ichukue kama unataka. LIKE
 
Kuna Mtu Sina Mazoea Nae Sana Leo Kaja Inbox Baada Ya Kusoma Baadhi Ya Thread Zangu Sijui Jiwe Limempata?
Sasa si ungeweka link ya hilo jiwe tujue lilikuwa kubwa kiasi gani ili tuweze kukadiria maumivu ya huyo jamaa aliekujia inbobo.
 
Back
Top Bottom