Nimeua nyoka mkubwa Mikumi

Wewe hapo mikumi sisi tulikuwa tunaelekea chini crater kupindi hicho unaotea barabara yakufika chini tulikutana na anakonda kipindi mdogo tu baba alikuwa ndio dereva tulitahamaki baba yangu akakaa kimya akasema tusimuue tumuache tu aende zake tukamuacha kwa dakika kadhaa akaenda zake .
Unamuua kakufanyaje.
 
Unamuua kosa lake nini?? Amehatarisha maisha ysko?? Huo ni ushamba kama ushamba mwingine,binafsi kiumbe chochote kisicho na hatari ya kuhatarisha naisha yangu naachana nacho!!tena isitoshe mbugani kwenye makazi yake!
 
huu uliifanya ni upumbavu, unafanya mambo ya kipumbavu unakuja kujisifu.shenz
 
Nyoka mkubwa usingethubutu kutoka ndani ya gari.
Ni kosa,ni false policy kumuua nyoka bila sababu. Itafika siku,nyoka atakuja kukusabahi.
 
Sasa umemuuwa wa Nini?

Infact wala sio sifa. Huyo nyoka umemfuata hifadhini, ndio kwake hapo ni wewe ndio hukutakiwa kuwa hapo sio yeye.

Umemuonea Bure na Wala hujafanya ushupavu wowote!
Na ana bahati sana kama ni kweli alishuka pale mikumi kwenda kumuua huyo nyoka
 
Mikumi, nyoka yupo nyumbani kwake,unatakiwa ushtakiwe kwa kuua nyara za serikali! Umemfuata porini then unamuua?
 
Mikumi kulivyojaa mikamera yoote wamekuacha tuu weeee thubutu
 
Sasa umemuuwa wa Nini?

Infact wala sio sifa. Huyo nyoka umemfuata hifadhini, ndio kwake hapo ni wewe ndio hukutakiwa kuwa hapo sio yeye.

Umemuonea Bure na Wala hujafanya ushupavu wowote!
Humfahamu nyoka mjomba/shangazi
 
Bado una utoto. Hakuna Anaconda Tanzania wala Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…