Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utani utafungwa kwa kujifanya mjuaji, nyoka pia kwenye mbuga ya taifa wanalindwa na sheria.Nyoka sio mnyama pori. Hata wewe ukimkuta ng'ombe Mikumi ukamuua, bado hujaua mnyama pori.
Kuna mwana alianzisha uzi humu ukisema kila mtu aseme aliwahi piga wanyma gani bila sababu za msingi..!!Sasa umeuuwa wa Nini?
Infact wala sio sifa. Huyo nyoka umemfuata hifadhini, ndio kwake hapo ni wewe ndio hukutakiwa kuwa hapo sio yeye. Umemuonea Bure na Wala hujafanya ushupavu wowote!
😂😂😂Atakuwa kaua Jongoo asiye na macho
Habari kama hii usipo weka na kapicha wala hainogi 75% ya wadau tulitegemea kukuta bonge la pichaNikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga.
Nikaona sio kesi, nikashuka nikachukua jeki, nikamtandika mgongoni nadhani nilivunja kabisa uti wa mgongo akawa anarandaranda tu pale nikatafuta kipande cha fimbo nene nikamtandika kichwa shughuli ikaisha nikamtupa pembeni safari ikaendelea.
Nyoka yoyote anayekatisha mbele yangu huwa nampelekea moto bila kujali yuko eneo gani, nyoka ni nyoka tu hata kama ni wa royo tuwa.
[emoji38][emoji38][emoji38]Umeua mjusi wewe ....
Koboko ukifanikiwa kumuua lazima utakuwa na siti yako mbinguni
Kwa hiyo ukimkuta mwanaume labor naye atakuwa mama mja mzito?Acha utani utafungwa kwa kujifanya mjuaji, nyoka pia kwenye mbuga ya taifa wanalindwa na sheria.
Mimi mwanaume nikafanye nini labor, ila ukiingia kwenye mbuga ya Mikumi kuna ubao ambao wameorodhesha kiasi cha pesa utakayolipa ukiua kiumbe chochote yaani wanyama, ndege na wadudu, nyoka naye yumo, pia nenda kwenye zoo yoyote ya maliasili utakuta nyoka wanao.Kwa hiyo ukimkuta mwanaume labor naye atakuwa mama mja mzito?
Umemdhulumu na umevunja Sheria pia kuuanmnyama pori bila kibaliNikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga.
Nikaona sio kesi, nikashuka nikachukua jeki, nikamtandika mgongoni nadhani nilivunja kabisa uti wa mgongo akawa anarandaranda tu pale nikatafuta kipande cha fimbo nene nikamtandika kichwa shughuli ikaisha nikamtupa pembeni safari ikaendelea.
Nyoka yoyote anayekatisha mbele yangu huwa nampelekea moto bila kujali yuko eneo gani, nyoka ni nyoka tu hata kama ni wa royo tuwa.
Dahh!! 😂😂😂😂nyoka ni nyoka tu hata kama ni wa royo tuwa.
Dah!.. huo ni ujangili, umeua kivuto cha utalii karibu na eneo la hifadhi.Nikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga.
Nikaona sio kesi, nikashuka nikachukua jeki, nikamtandika mgongoni nadhani nilivunja kabisa uti wa mgongo akawa anarandaranda tu pale nikatafuta kipande cha fimbo nene nikamtandika kichwa shughuli ikaisha nikamtupa pembeni safari ikaendelea.
Nyoka yoyote anayekatisha mbele yangu huwa nampelekea moto bila kujali yuko eneo gani, nyoka ni nyoka tu hata kama ni wa royo tuwa.
Hukuua koboko uliua nyoka mkubwa tu.Nikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga.
Nikaona sio kesi, nikashuka nikachukua jeki, nikamtandika mgongoni nadhani nilivunja kabisa uti wa mgongo akawa anarandaranda tu pale nikatafuta kipande cha fimbo nene nikamtandika kichwa shughuli ikaisha nikamtupa pembeni safari ikaendelea.
Nyoka yoyote anayekatisha mbele yangu huwa nampelekea moto bila kujali yuko eneo gani, nyoka ni nyoka tu hata kama ni wa royo tuwa.
Kwa mtazamo wangu hujafanya sawasawa! Kwa sababu umemkuta eneo lake sahihi kabisa, nyoka ni kiumbe kama viumbe vingine vyote. Ikiwa yuko nyumbani kwenye makazi ya watu unaweza muua, hata hivyo sehemu zenye wataramu huwaita ili waje wamuondoe akiwa hai. Binafsi nikimkuta nyoka porini siwezi wala sijawahi kumuua kwa kuwa ndiyo sehemu yake ya kujifai, bali namfukuza ili apotelee polini.Nikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga.
Nikaona sio kesi, nikashuka nikachukua jeki, nikamtandika mgongoni nadhani nilivunja kabisa uti wa mgongo akawa anarandaranda tu pale nikatafuta kipande cha fimbo nene nikamtandika kichwa shughuli ikaisha nikamtupa pembeni safari ikaendelea.
Nyoka yoyote anayekatisha mbele yangu huwa nampelekea moto bila kujali yuko eneo gani, nyoka ni nyoka tu hata kama ni wa royo tuwa.
Ushaharibu ikolojia ya mikumi mkuuNikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga.
Nikaona sio kesi, nikashuka nikachukua jeki, nikamtandika mgongoni nadhani nilivunja kabisa uti wa mgongo akawa anarandaranda tu pale nikatafuta kipande cha fimbo nene nikamtandika kichwa shughuli ikaisha nikamtupa pembeni safari ikaendelea.
Nyoka yoyote anayekatisha mbele yangu huwa nampelekea moto bila kujali yuko eneo gani, nyoka ni nyoka tu hata kama ni wa royo tuwa.
Nimependa hapo kwenye mstari wa mwisho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga.
Nikaona sio kesi, nikashuka nikachukua jeki, nikamtandika mgongoni nadhani nilivunja kabisa uti wa mgongo akawa anarandaranda tu pale nikatafuta kipande cha fimbo nene nikamtandika kichwa shughuli ikaisha nikamtupa pembeni safari ikaendelea.
Nyoka yoyote anayekatisha mbele yangu huwa nampelekea moto bila kujali yuko eneo gani, nyoka ni nyoka tu hata kama ni wa royo tuwa.
Umehujumu uchumi wa nchi.Nikitokea Morogoro kuelekea Iringa alfajiri ya leo mwanzoni mwa hifadhi ya mikumini nikakutana na joka kubwa limetulia barabarani, niliyekuwa naye akashauri tusiligonge akaanza kunipa Visa vya koboko aka black mamba kuwa unaweza kumkosa akajificha kwenye uvungu wa gari ukishuka anakugonga.