Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa mzee baba hakupelekeagi moto ndio maana mwili wa kibantu unakuandama.
Ushauri :
Gongwa kutwa mara 3 utarudi ujanani, kitambi kitatoweka ndani ya mwezi tu.
Utakuja kunishukuru
Kitambo kidogoo...
Muda mchache majukumuu kibaooo
Umri unasonga mwili nao huooo jumbaaaa....
Jamanii mwili wa kibantu, nshauchokaa...
Yaani unanenepa sehemu na sehemu tuu...
Mikonoo, uso, mapaja, miguu tuuumbooooooo, tutako nehiiii 😞😞😒
Diet sana, mazoezi sanaa ila baada ya mwaka with the same lifestyle consistency asili inarudi palepale....☹️☹️🙁🙁😔😔😔😕😞😞😞😒😏😏😏😏😏
Nimechoka kitu kinaitwa asili/ genes.....
I just want to see the little me holding my wine glass every friday 😍.
View attachment 2204180
One bottle/man down...
Special kwa wale wanaoulizia kapicha ka kusindikiza uzi....
Kasinde Mabaha.
2022.
Naomba tuanza mkuu[emoji3]Afu kweli bwana,nami nimeona kunatofauti kipindi nilipokuwa naduu sana na nilivyostop.Aisee sitaki utukunyema ngoja nianze tena
Umemjibu nini shangazi 😂😂Waapiiii tunapumzika jumapili tuu.....
Hizi genes 🧬 nyoso kweliii, shangazi yangu mmoja kaniambia welukamu tuze weldi....!😒
Afu kweli bwana,nami nimeona kunatofauti kipindi nilipokuwa naduu sana na nilivyostop.Aisee sitaki utukunyema ngoja nianze tena
Wewe umeuchoka mwili wa kibantu na Wamexico na Wahindi wasemeje kuhusu miili yao?Kitambo kidogoo...
Muda mchache majukumuu kibaooo
Umri unasonga mwili nao huooo jumbaaaa....
Jamanii mwili wa kibantu, nshauchokaa...
Yaani unanenepa sehemu na sehemu tuu...
Mikonoo, uso, mapaja, miguu tuuumbooooooo, tutako nehiiii 😞😞😒
Diet sana, mazoezi sanaa ila baada ya mwaka with the same lifestyle consistency asili inarudi palepale....☹️☹️🙁🙁😔😔😔😕😞😞😞😒😏😏😏😏😏
Nimechoka kitu kinaitwa asili/ genes.....
I just want to see the little me holding my wine glass every friday 😍.
View attachment 2204180
One bottle/man down...
Special kwa wale wanaoulizia kapicha ka kusindikiza uzi....
Kasinde Mabaha.
2022.
Nisamehe dada mbantu,naingilia mada yako. Natamani nipate mke kupitia hii thead yako. Mimi ni mume mtarajiwa wa mke ntakaempata hapa. Naishi na VVU mwaka wa 11 sasa. Naumia moyo nnavotoka na wanawake ambao wako salama japo natumia condom. Natamani nipate mwenzangu ili tuishi wote kwa matumaini. Nimejaribu kuzungumza na ma doctor mahali nnapochukulia dawa ili walau kama kuna mtu anataka mme mwisho wa siku nikakutana na dada ambae anajiuza kavurugwa mpaka basi. Nikashindwa kwasababu mimi ni mpole siyo mhuni ila nakunywa pombe kidogo ili kupoteza mawazo. Niko serious natamani nipate mwenza mwenye VVU naamini tutapenda daima mpaka kifo. Nisamehe kwa kuwaingilia.Kasinde mahaba au kasinde mabaha
Dadaangu kuna ujumbe nimeuweka hapo chini. Naomba uupitie dada naamini utanisaidia.Kitambo kidogoo...
Muda mchache majukumuu kibaooo
Umri unasonga mwili nao huooo jumbaaaa....
Jamanii mwili wa kibantu, nshauchokaa...
Yaani unanenepa sehemu na sehemu tuu...
Mikonoo, uso, mapaja, miguu tuuumbooooooo, tutako nehiiii [emoji20][emoji20][emoji19]
Diet sana, mazoezi sanaa ila baada ya mwaka with the same lifestyle consistency asili inarudi palepale....[emoji3525][emoji3525][emoji853][emoji853][emoji17][emoji17][emoji17][emoji53][emoji20][emoji20][emoji20][emoji19][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Nimechoka kitu kinaitwa asili/ genes.....
I just want to see the little me holding my wine glass every friday [emoji7].
View attachment 2204180
One bottle/man down...
Special kwa wale wanaoulizia kapicha ka kusindikiza uzi....
Kasinde Mabaha.
2022.
Kasie ya moyoni mwake amekwisha yaelezea sasa ni wakati muafaka wa pm kutumika huko tunawaachia ninyi.Nisamehe dada mbantu,naingilia mada yako. Natamani nipate mke kupitia hii thead yako. Mimi ni mume mtarajiwa wa mke ntakaempata hapa. Naishi na VVU mwaka wa 11 sasa. Naumia moyo nnavotoka na wanawake ambao wako salama japo natumia condom. Natamani nipate mwenzangu ili tuishi wote kwa matumaini. Nimejaribu kuzungumza na ma doctor mahali nnapochukulia dawa ili walau kama kuna mtu anataka mme mwisho wa siku nikakutana na dada ambae anajiuza kavurugwa mpaka basi. Nikashindwa kwasababu mimi ni mpole siyo mhuni ila nakunywa pombe kidogo ili kupoteza mawazo. Niko serious natamani nipate mwenza mwenye VVU naamini tutapenda daima mpaka kifo. Nisamehe kwa kuwaingilia.
Kasinde mahaba au kasinde mabaha
Watu wa sudan kusini ushabahatika kukutana naoKasie matata...mwanamke mtulivu na mwenye tabasamu muda wote uso mwake. Hana papara, maamuzi ya kiutu uzima. When on her min-skrits, acha kabisa!!
She knows how to love.
Keep enjoying and smiling with your lovely body Kasie Matata.
Coz Mungu kaumba watu wa aina mbalimbali warefu kwa wafupi, wanene kwa wembamba, weusi-maji ya kunde- weupe. Hawa wote ni wa Mungu
Mikonoo, uso, mapaja, miguu tuuumbooooooo, tutako nehiiii [emoji20][emoji20][emoji19]Kasinde Matata...[emoji6].
Sengiyo noma 😂Aahahahahaa nilimjibu kimoyomoyo tuu...
Welukamu maifuti, huku natabasamu maana ana mashushu balaa..😅.
Aahahahahaa nilimjibu kimoyomoyo tuu...
Welukamu maifuti, huku natabasamu maana ana mashushu balaa..😅.