Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #41
Kasie matata...mwanamke mtulivu na mwenye tabasamu muda wote uso mwake. Hana papara, maamuzi ya kiutu uzima. When on her min-skrits, acha kabisa!!
She knows how to love.
Keep enjoying and smiling with your lovely body Kasie Matata.
Coz Mungu kaumba watu wa aina mbalimbali warefu kwa wafupi, wanene kwa wembamba, weusi-maji ya kunde- weupe. Hawa wote ni wa Mungu
Thank you Soine.