Nimeuchoka ubinafsi wa Waafrika huko youtube, hawaweki link za kudownload wanaweka namba ili wakuuzie vitu walivyopata bure

Hiyo router ni ya aina gani? Taja model japo umeshaiunlock.. kuna router zipo ndani nimetafuta solution nimekosa kitambo sana isije ikawa zishapata ufumbuzi
 
Hao wagipino hamna namna yoyote wananufaika. Huenda hio kwa ni portifolio ya kuwasaidia kujitangaza kupata deals.
 
Ukiswashairi IT sciensist nso wa crack. Sio kika kitu kuokota kwa wazungu na waasia halafu wakituambia sie ni nyani tunakataa.
Yaani mtoto wa kizungu aliezaliwa mwaka 2000 aweze ku scratch kichwa aisi tuliozaliwa na kukutwa na teknolojia ni MAHOKA. Tunatakiwa tujitafakari sana.
Sisi waafrika kutokuwa na uwezo tuna ona kawaida wakati wenzetu ni fedheha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…