Nimeufurahia utaratibu wa kuwaapisha wateule wa Rais; utaleta heshima na kutodharauliana

Pale kwenye kiapo inakuwa kma interview maana Kuna wengine hawajui kusoma kama yule wa enzi zile za magu
 
 
Wewe jamaa una matatizo ha kisaikolojia, Magufuli hakuwahi kuwaapisha wakuu wa wilaya, unaambiwa kila Mara hili Ila huelewi
 
Uamuzi mzuri sana, Nawaza Sabaya na Kiburi chake cha "uandakava"feki angeapa kwa mama mghwira kweli, ?
Bora hata JOJO amepelekwa Dar apate mwanaueme aise, maana uzazi kwa wanawake unakoma miaka ikifika 40, sasa ana miaka 35 hana hata mchumba.
Sabaya aliapishwa na huyohuyo Anna Mghwira, hivi ni kuwa hamfatilii au mmeamua kuwa wajinga?
 
Huwa una matatizo! DC anaapishwa na RC maana ni msaidizi wake kikatiba
Kwa hiyo tukubaliane kitendo cha DC kujitutumua "MIMI NDO MWAKILISHI WA RAIS" si sahihi inatakiwa aseme yeye ni mwakilishi wa RC?
 
hii ipo siku zote ulikuwa huijui wewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…