GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Angalia ulivyo Muoga unaacha Kunikabili kwa ID zoeleka hapa JamiiForums umeamua uje na hii mpya ili udhani sitokujua. Kweli GENTAMYCINE ni Kiboko....!!!Too muc know ni shida. Jamaa kaleta mada akihisi yuko sahihi. Baada ya kupata maelekezo na mifano hai, BADO anashupaza shingo tu. Muugwana angekubali kukosolewa na maisha yakaendelea.
Anyway JACK OF ALL TRADES, MASTER OF NONE
Lengai Ole Sabaya aliapishwa na nani?Siku zote DC anaapishwa na RC
Thread ya hovyo jf tangu Mama Samia achukue nchi.Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.
Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.
Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.
Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.
Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
Nimekusaidia kukuletea hii taarifa nikiamini una akili sio Kama za mtoa post. ole sabaya aliapishwa na mama Anna mghwiraLengai Ole Sabaya aliapishwa na nani?
We ni kilaza sana ,haijawahi tokea DC kuapishwa na Rais Tangu uhuru,unatia aibu ujueNimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.
Kuanzia Wakuu wa Wilaya, DED na DAS sasa watakuwa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoo tu huko ambako wamepangiwa baada ya Kuteuliwa.
Napongeza sana hatua hii ( Maamuzi haya ) kwani kwa Mtazamo wangu GENTAMYCINE nilikuwa naona 'Wateuliwaji' wote hawa ( hasa RC' na DC's ) Kuapishwa na Mheshimiwa Rais ilikuwa ni kutowapa Mipaka yao na hata Kuwafanya DC's wajione wako juu ya RC's wao na wakati mwingine hata 'wakidharauliana' pia.
Sawa DC's wote mmeteuliwa na Mheshimiwa Rais lakini 'Kudadadeki' zenu wote ( nyote ) kuanzia Kesho 'mtaapa' mbele ya RC's sasa ole wenu mkiwa huko mjifanye mpo juu yao au muanze kuwa 'Masnichi' na Kuwapikia 'Majungu' kwa Mama ili 'watumbuliwe' na mpandishwe Vyeo hivyo nyie.
Oya DC mpya wa Siha leo 'Gambe' wapi?
Acha uongoNilishaliona likifanyika kwa Hayati JPM.
Jf kuna wajinga wengi blooSabaya aliapishwa na huyohuyo Anna Mghwira, hivi ni kuwa hamfatilii au mmeamua kuwa wajinga?
Halina akili kilaza hiloHili jinga linajifanya linajua kila kitu, hakuna wakati wowote Rais ameapisha ma DC's tena si Magufuli tu hata waliomtangulia bali siku zote walikuwa wakiapishwa na Wakuu wa Mikoa,jinga sana jamaa.
Mkuu Gentamycine ma dc huo utaratibu ni wa siku nyingi mbonaMara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Muulize mkuuLengai Ole Sabaya aliapishwa na nani?
Mara zote hata kabla ya jiwe ma-DC walikuwa wanaapishwa na ma-RC.Huu utaratibu ulianza kubadilika kwa JPM wakuu wa wilaya wakawa wanaapishwa na Wakuu wa Mikoa.
Tunapoteza muda hapa.
Wewe umetokea wapi? Haya mambo mbona ni miaka yote yako hivyo? UVCCM mnatapatapa sana aisee.Mara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Nisaidie Kuniulizia kwa hawa 'Wapumbavu' hapa Juu wanaonishanbulia Kutwa tena hadi Wakikiri Kutonikubali ( Kutonipenda ) kuwa inakuwaje sasa 24/7 hawaachi Kusoma na hata Kuzichangia 'threads' zangu? Kwani JF Members wenye Akili wameisha hapa Jamvini hadi wapoteze muda Wao mwingi Kusumbuka na GENTAMYCINE aliyebarikiwa Vitu vingi na Mwenyezi Mungu kuliko wao Waliolaaniwa na Kulaanika Kiakili?Mkuu Gentamycine ma dc huo utaratibu ni wa siku nyingi mbona
HhMara nyingi kwa Hayati Dkt. JPM Yeye 'Shoo' zote hizo alikuwa anazisimamia Mwenyewe Ikulu na akimaliza 'Kuwaapisha' anaanza Kuwananga ( Kuwasema ) huku akiwapiga mno 'Mikwara' yake Mbuzi.
Achana naoNisaidie Kuniulizia kwa hawa 'Wapumbavu' hapa Juu wanaonishanbulia Kutwa tena hadi Wakikiri Kutonikubali ( Kutonipenda ) kuwa inakuwaje sasa 24/7 hawaachi Kusoma na hata Kuzichangia 'threads' zangu? Kwani JF Members wenye Akili wameisha hapa Jamvini hadi wapoteze muda Wao mwingi Kusumbuka na GENTAMYCINE aliyebarikiwa Vitu vingi na Mwenyezi Mungu kuliko wao Waliolaaniwa na Kulaanika Kiakili?
Cc: mdukuzi, Born City, shinji, Countrywide, Chinga One, digba sowey, Statesman, Nicsta
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa tu ndiyo watakuwa wanaapishwa na Rais akiwa mbele yao.