subiri uone
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 753
- 624
Kuna maisha baada ya kufa umeshawahi kujiuliza kwanini kila binaadam ana alama ambayo haifanani na mwengineMnapoteza mda kubishana ujinga
mfano finger print DNA n k
Na hiyo ni technology ya Mungu kwa teknolojia yake huwezi kupotea na asijue upowapi chuza hata wadudu utapata ufahamu The Beetles That Drink Water From Air — Biological Strategy — AskNature