Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Usiogope kuwa na amaniHabari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.
Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa.
Mind you, mimi narudi kwangu sio kwa Mwamposa, ilikuwa kidkgo nirushe ngumi
Bro 🤣🤣🤣🤣🤣utavunja watu mbavuHabari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.
Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa.
Mind you, mimi narudi kwangu sio kwa Mwamposa, ilikuwa kidkgo nirushe ngumi
Nimeumia sana. Yaani kubeba shangazi kaja naonekana wa kwa MwamposaBro 🤣🤣🤣🤣🤣utavunja watu mbavu
NakaziaKweli kabisa wewe ni wa kwa Mwamposa, hata kuandika kwako inathibitisha hilo 😎
Kuna vaa na muonekano tu watoto wa mjini wakikuona wanajua kabisa huyu wakuja ama ndo km hivyo wa kwa mwamposa 🤣🤣🤣🤣Nimeumia sana. Yaani kubeba shangazi kaja naonekana wa kwa Mwamposa
Hapana kabisa🤣🤣🤣🤣🤣 kwani sio wa kwa mwamposa?
Usione soo mkuu kama ni wa kwa mwamposa sema tu huoni chalamila ni wa kwa mwamposaHapana kabisa
Sasa hilo ni la kukuchukiza?Wangekuita wa kwa shetani ungejisikiaje?Hebu tulia wewe!Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.
Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa.
Mind you, mimi narudi kwangu sio kwa Mwamposa, ilikuwa kidkgo nirushe ngumi
🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaha hao jamaa wana psychologia ya kumjua abiria kutokana na matukio. Unaonekana una matatizo yanayotatuliwa na mwamposa.
Huyo Mwamposa nae ni sawa na shetani tu.Sasa hilo ni la kukuchukiza?Wangekuita wa kwa shetani ungejisikiaje?Hebu tulia wewe!