Nimeumia kuitwa wa Kwa Mwamposa

Nimeumia kuitwa wa Kwa Mwamposa

Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.

Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa.

Mind you, mimi narudi kwangu sio kwa Mwamposa, ilikuwa kidkgo nirushe ngumi
Pole sana mkuu
 
Sasa hilo ni la kukuchukiza?Wangekuita wa kwa shetani ungejisikiaje?Hebu tulia wewe!
Kwa huyo Mamposa wanaenda watu wajinga ndiyo maana. Mimi ningefurahi sana kama wangekuwa wanaenda watu kwenda kumwabudu Mungu. Lakini umati ule wote wanaenda eti kufunguliwa kutoka kwenye vifungo vya umaskini, magonjwa na kila aina ya shida. Umaskini, shida na mateso huisha kwa sala?
 
Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.

Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa.

Mind you, mimi narudi kwangu sio kwa Mwamposa, ilikuwa kidkgo nirushe ngumi
Mwanaume unabebaje shangazi kaja
You deserve kuitwa ivo asee
 
Kwa huyo Mamposa wanaenda watu wajinga ndiyo maana. Mimi ningefurahi sana kama wangekuwa wanaenda watu kwenda kumwabudu Mungu. Lakini umati ule wote wanaenda eti kufunguliwa kutoka kwenye vifungo vya umaskini, magonjwa na kila aina ya shida. Umaskini, shida na mateso huisha kwa sala?
Wasaidie ndugu yangu.Kama sala haziondoi vifungo vya umasikini,shida na mateso,wafanye nini?
 
Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.

Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa.

Mind you, mimi narudi kwangu sio kwa Mwamposa, ilikuwa kidkgo nirushe ngumi
Kakanyage mafuta, hasira itapungua.
 
Mkuu next time achana na mamifuko ya shangazi kaja, Kama una line ya tigo chukua kwanza hizi Gb za bure afu ncheki PM ntakupa chimbo la kupata classic bags 👇🏻

Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Back
Top Bottom