Nimeumia kuitwa wa Kwa Mwamposa

Nimeumia kuitwa wa Kwa Mwamposa

Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.

Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa.

Mind you, mimi narudi kwangu sio kwa Mwamposa, ilikuwa kidkgo nirushe ngumi
Mkuu,

Si wqpiga debe walikuwa wanasaidia abiria wengi wageni wa jiji wasipotee wafike kwa Mwanposa vizuri tu, kwa nini unaichukulia personal?
 
Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.

Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa.

Mind you, mimi narudi kwangu sio kwa Mwamposa, ilikuwa kidkgo nirushe ngumi
Ulishindwa kwa jina la Yesu kurusha ngumi😂
 
Back
Top Bottom