Nimeumia kuitwa wa Kwa Mwamposa

Pole sana mkuu
 
Sasa hilo ni la kukuchukiza?Wangekuita wa kwa shetani ungejisikiaje?Hebu tulia wewe!
Kwa huyo Mamposa wanaenda watu wajinga ndiyo maana. Mimi ningefurahi sana kama wangekuwa wanaenda watu kwenda kumwabudu Mungu. Lakini umati ule wote wanaenda eti kufunguliwa kutoka kwenye vifungo vya umaskini, magonjwa na kila aina ya shida. Umaskini, shida na mateso huisha kwa sala?
 
Mwanaume unabebaje shangazi kaja
You deserve kuitwa ivo asee
 
Wasaidie ndugu yangu.Kama sala haziondoi vifungo vya umasikini,shida na mateso,wafanye nini?
 
Kakanyage mafuta, hasira itapungua.
 
Mkuu next time achana na mamifuko ya shangazi kaja, Kama una line ya tigo chukua kwanza hizi Gb za bure afu ncheki PM ntakupa chimbo la kupata classic bags πŸ‘‡πŸ»

Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…