Nimeumia kuona moja ya picha ya crime scene nyumbani kwa mdude kuna choo cha mtoto.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Mtoto mdogo kama huyu unakuta alishuhudia baba yake anapigwa and maybe anaweza asimuone tena
 
Inasikitisha sana, mtoto uoga ulimkuta mpaka ikawa hvo, halafu ukute alikuwa kamng'ang'ania baba yake wakati akipokea kipigo ndo mpaka ikawa hvo, inasikitisha sana
 
Inasikitisha sana, mtoto uoga ulimkuta mpaka ikawa hvo, halafu ukute alikuwa kamng'ang'ania baba yake wakati akipokea kipigo ndo mpaka ikawa hvo, inasikitisha sana
Wabongo mpe picha tuu, maelezo anayo 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…