backtobasics
Member
- Apr 24, 2024
- 13
- 16
hakika na changamoto yetu ni kuwa uzalishaji unawezekana ila malighafi ni gharama sana yaani lazima soko la ushindani litupige KOKinachotakiwa ni ubora wa bidhaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika na changamoto yetu ni kuwa uzalishaji unawezekana ila malighafi ni gharama sana yaani lazima soko la ushindani litupige KOKinachotakiwa ni ubora wa bidhaa.
Mada za malalamiko kuona fursa utapata wachangiaji hawazidi 30.mada za kueleza dira na kuona mbali utapata watu na wakizidi ni wawili.Imeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
Huko kwenye ujenzi kuna upigaji wa kufuru.Hata kwenye idara ya Ujenzi.
Baadhi ya wadau huagiza mzigo wa finishing toka nje ya nchi kwa sababu mbili:
- Kupunguza gharama. Yaani akinunua vifaa vya vinishing hapa nchini ni hasara kubwa.
- Kupata vifaa vyenye quality kubwa.
Kumbe Kuna kuku wanatoka ulaya
Hapo sawPeduu yale makuku makubwa, mara nyingi hutumika kwenye mahoteli.
Baada kuumia ukafanyaje?? Anza kufuga upambane demand kuku...migpdi iko kama 15 hivi...wanataka kuku zaidi 300k kwa week....mwezi kuku 1mil....utapata wapi hapo bado nyama ngomve....matunda...mikate...mboga mboga etc.....bado demand za hotels na supermarket....bado masoko yetu asili matumizi majumbani na bar......mabanda chips....Imeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
1:kusambaziwa magonjwa yaliopo huko,km kuna cancer wote mpateImeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
Wa kutoshaKumbe Kuna kuku wanatoka ulaya
Wa kutosha