Nimeumia, najiuliza kwanini TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani na Saudi?

Nimeumia, najiuliza kwanini TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani na Saudi?

Imeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
Mada za malalamiko kuona fursa utapata wachangiaji hawazidi 30.mada za kueleza dira na kuona mbali utapata watu na wakizidi ni wawili.

Weka mada za ngono,mpira na kuiponda chadema utaona watu wanavo jaa.

Haya tumeshayaona tanzania kuna tatizo
 
Hata kwenye idara ya Ujenzi.

Baadhi ya wadau huagiza mzigo wa finishing toka nje ya nchi kwa sababu mbili:
  • Kupunguza gharama. Yaani akinunua vifaa vya vinishing hapa nchini ni hasara kubwa.
  • Kupata vifaa vyenye quality kubwa.
Huko kwenye ujenzi kuna upigaji wa kufuru.
 
Ukiona hivyo ujue bado mahitaji ni makubwa. Tumia fursa kupiga hela. Hapo kwenye kuku mchawi ni operational costs tu. Ukiweza kudhibiti gharama za uendeshaji utawini.
 
Imeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
Baada kuumia ukafanyaje?? Anza kufuga upambane demand kuku...migpdi iko kama 15 hivi...wanataka kuku zaidi 300k kwa week....mwezi kuku 1mil....utapata wapi hapo bado nyama ngomve....matunda...mikate...mboga mboga etc.....bado demand za hotels na supermarket....bado masoko yetu asili matumizi majumbani na bar......mabanda chips....
 
Imeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
1:kusambaziwa magonjwa yaliopo huko,km kuna cancer wote mpate
2: soko huru,Asia/EU/America/middle east wote wanaiangalia Africa Kama business hub moja kubwa sana,Kama viberiti tunaletewa ww unashangaa kuku.
3:TZ ubunifu hakuna wengi wanaiga and mbaya materials ya kutengeneza malighafi ni ghali mno tena sana
 
Back
Top Bottom