Nimeumia, najiuliza kwanini TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani na Saudi?

Nimeumia, najiuliza kwanini TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani na Saudi?

Bongo vyakula vya kuku bei ghali sana. Ni kukomoana mpaka wageni wanapata fursa ya kutuletea vya kwao visivyo na ubora
Imagine Mashudu ya Morogoro unanunua Ghali sana kuliko yaliyotoka Moroco.

Yaani mashudu yamesafiri Meli mwezi mzima na ya moro ni siku moja.

Mwafrika anapenda sana Faida kwa kila kidogo anachofanya
 
Je hao kuku ni bei rahisi ?!!; Kama ndio ulitaka wafungie wa huko au kuongeza Kodi ili mwananchi huyu ashindwe kununua hao Kuku / Kula nyama sababu tu wewe mfugaji upate mteja ?

Mbaya zaidi haushangai kwanini tunaagiza gesi (LPG) kwa kutumia kodi za mwananchi ambaye unamkataza kutumia kitu cha bure (Kuni) wakati hio gesi unayompa uliyotumia Kodi zake kama Ruzuku ili ionekane kwamba ni gharama ndogo wakati bado gharama ni kubwa kuliko mbadala uliopo kwa wakati huo (UMEME)

Je haoni unapeleka mshangao wako sehemu ambayo sio husika..., Mwisho wa siku kinachotakiwa ni Mwananchi kupata nafuu na sio kufurahishana politically...; It is the maxim of every prudent master of a family, never to attempt to make at home what will cost him more to make than to buy..... Kwahio kama tumeshindwa kufuga basi labda tulime mihogo au kufanya chochote ambacho ni cheaper kwetu na ile ziada tutumie kununua hao kuku na mayai ambayo ni rahisi huko ughaibuni... (A penny Saved is a Penny Earned)

 
Imeniuma Sana kusikia kuwa TZ tunanunua kuku kutoka Brazil, Marekani, Saudi Arabia, UAE, Cyprus na South Africa. Unadhami sababu ni nini?
Si kila kuku ama Michele ama chakula fulani kikinunuliwa nje ina maana kina replace ndani, kuna Mapishi ambayo ya nahitaji vitu fulani exactly ambavyo huwezi pata soko la ndani.

Tanzania inazalisha Tani 78,000 za kuku na ina nunua Toka Nje tani 5,000. So kwa Zaidi ya asilimia 90 tunatumia kuku wetu wa ndani.
 
Hata kwenye idara ya Ujenzi.

Baadhi ya wadau huagiza mzigo wa finishing toka nje ya nchi kwa sababu mbili:
  • Kupunguza gharama. Yaani akinunua vifaa vya vinishing hapa nchini ni hasara kubwa.
  • Kupata vifaa vyenye quality kubwa.
Ni bora kutawaliwa na Wazungu kuliko kutawaliwa na Weusi wenzetu CCM, ni tatizo kubwa, na wenyewe mnashuhudia. yanayotokea.
 
Back
Top Bottom