Nimeumia sana au Sina bahati

Tukiwaambia mje barabarani kwenye Maandamano ya kumpinga huyu Kaburu mweusi CCM mnaleta midomo mirefu tu, endelea kulia ndani ya blanket Nina mdogo wangu na yeye yupo kama wewe. Halafu CGI yule dada anafasi zaidi ya 50 zake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…