Nimeumia sana au Sina bahati

Nimeumia sana au Sina bahati

This guy ni mjinga Sana nimefatilia threads zake, analalamika tu.
Awe makini Ataangamia.. af ajue maarifa Yanatoka kwa Mungu.

Kutoka 31:3-5

[3]nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina,
[4]ili abuni kazi za ustadi, kuwa fundi wa dhahabu, na wa fedha, na wa shaba,

Maandiko yenyewe yanasema kazi zipo nyingi.. 😄
 
Awe makini Ataangamia.. af ajue maarifa Yanatoka kwa Mungu.

Kutoka 31:3-5

[3]nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina,
[4]ili abuni kazi za ustadi, kuwa fundi wa dhahabu, na wa fedha, na wa shaba,

Maandiko yenyewe yanasema kazi zipo nyingi.. 😄
Duu
 
Natazama majina ya walio itwa kwenye usaili wa uhamiaji jina langu halipo na Sifa zote nilikuwa Nazo au Kwasababu maskini.


Kwani wanao ajiriwa serikalini ni matajiri? Kwanza kwa kauli hii tu inaonyesha hufai kuwa mwajiriwa wa serikali au hata sekta binafsi, wewe unaweza infuluence waajiriwa tabia mbaya au kukatisha tamaa katika maeneo ya kazi na kuvunja morali watumishi walioajiriwa, tabia kama hizi ndio nyingi waajiri huangalia mapema kabisa wakati wa interview na kuwaacha kabisa katika usaili wa awali..!! Infact, waajiri wengi huwaaita kwenye interview wanaotafuta kazi na katika interview kikubwa sana wanachokuangalia ni personal behaviour, so tabia kama hizi zako sijui kwa sbb maskini sijui nn yaani ni disqualification kubwa na hupati kazi.

Naamini hata hao Uhamiaji kuna kitu wamekiona na kukuacha, be very careful wakati unatafuta kazi, utakosa sana kazi hasa katika interview kwa tabia za kipuzi kama hizi zako, otherwise jiajiri tu kwani kazi sio kazima uajiriwe, jua sana unyenyekrvu na utii kama unatafuta hasa ajira.
 
AZNANDU USED SPARE PARTS📌



▫️Wauzaji wa spare zote used za magari: Nissan,Toyota,Subaru,Mitsubish n.k kutoka Japan na Dubai.



▫️Tunapatikana Kariakoo, Shaurimoyo Street,Dar es salaam



▫️Tunatuma mizigo nchi nzima kwa umakini na uaminifu mkubwa🤝



▫️Kwa mawasiliano:

Whatsapp: 0659 994 776/

0685 062 325



Karibuni sana✨
 
Ok pole vipi kazini ushaanza kureport ?

Ila epuka kulalamika kila kitu kitakaa kwenye nafasi wakati ukifka.....

Jitakie mema kila uamkapo na ulalapo......

Jione wewe ni mshindi kwa kila jambo unaloli dhihirisha......

Omba Mungu akupe kibali Cha kupita popote.......

Jifunze kushukuru kwa kila jambo

Good luck
 
Oyaa kule kwa kiasi kikubwa wamechukuliwa wenye fani, Mimi nimebahatika kuitwa kweny usaili fani yangu ni electrical engineering na sijuani na mtu yeyote wa uhamiaji.
 
We sio UVCCM afu unataka upate kazi ambazo hazipo ajira portal? Zenu niza ajira portal hizi zingine ni za UVCCM
 
Back
Top Bottom