Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kubwa sana, hasa watoto una adhibiwa kwa kosa lisilo lake. Damn.Umasikini ni Laana kubwa sana
Kwakuwa umekiri mwenyewe.. jibu lako ni hili mkuu, nadhan huna kibali mkuu, omba Mungu akupe kibali mkuu alafu ushuhudie hapa..Natazama majina ya walio itwa kwenye usaili wa uhamiaji jina langu halipo na Sifa zote nilikuwa Nazo au Kwasababu maskini.
This guy ni mjinga Sana nimefatilia threads zake, analalamika tu.Kwakuwa umekiri mwenyewe.. jibu lako ni hili mkuu, nadhan huna kibali mkuu, omba Mungu akupe kibali mkuu alafu ushuhudie hapa..
Awe makini Ataangamia.. af ajue maarifa Yanatoka kwa Mungu.This guy ni mjinga Sana nimefatilia threads zake, analalamika tu.
DuuAwe makini Ataangamia.. af ajue maarifa Yanatoka kwa Mungu.
Kutoka 31:3-5
[3]nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina,
[4]ili abuni kazi za ustadi, kuwa fundi wa dhahabu, na wa fedha, na wa shaba,
Maandiko yenyewe yanasema kazi zipo nyingi.. 😄
Wamejuaje wewe ni masikini kwa kuangalia jina lako?Natazama majina ya walio itwa kwenye usaili wa uhamiaji jina langu halipo na Sifa zote nilikuwa Nazo au Kwasababu maskini.
madhara ya kutangaza siri ndio haya sasa😂😂😂😂Aah mwalimu uliefurahia mshahara wa laki na nusu au sio wewe
Umaskini ni sifa mbaya, ndo huwa mnaingiza wàsomali nyie.Natazama majina ya walio itwa kwenye usaili wa uhamiaji jina langu halipo na Sifa zote nilikuwa Nazo au Kwasababu maskini.
Natazama majina ya walio itwa kwenye usaili wa uhamiaji jina langu halipo na Sifa zote nilikuwa Nazo au Kwasababu maskini.
Jf member wengi wanapitia magumu na Kwa vile tunatumia fake ID basi wengi wetu tunaandika vile vitu vinavyotuletea amani ya mioyo yetu.
Ukwel mchungu sanaJf member wengi wanapitia magumu na Kwa vile tunatumia fake ID basi wengi wetu tunaandika vile vitu vinavyotuletea amani ya mioyo yetu.