PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tuondolee upumbavu wako na hao njaa 55 wenzako. Chadema ipo sana hatuwezi kuyumbishwa na wapumbavu kana nyie na huyo DJ wenu nendeni mkapewe huo nusu mkate mlio ahidiwa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
yaani chama kivunjike kwa ajili ya hao ngedere wenzako wawili watatu kilichonishangaza mimi nilienda kufanya kazi kijiji kimoja huko ndani kuna miaka ccm ilishika utamu mwezi uliopita wamemuunga juhudi tundu lissu 80β„… nikajua lissu ana kitu watanzania wanakihitaji
 
Kwani mlivyosema no reform no election mlitania? Maana kama mlimaanisha je kuna mabadiliko gani ya sheria yaliyofanyika Ili twende kwenye uchaguzi?
Now mwenyekiti wa chama yupo ndani kwa kesi, je Mbowe alivyokamtwa watu mbona walipiga kelele?, mbona hatumsikii Leo akiongea chochote?
Uamuzi aliufanya yeye mbona hajatoka hadharani kusema nilimaanisha hiki. Na ni mjumbe wa Kamati kuu kwa nini asihoji kwenye kikao? Naamini Bado ana wajumbe wa kutosha kulazimisha kikao kiitishwe. Je, ameitisha kikao?
 
Tatizo walitaka wawe na vyeo vile vile kama walivyojua navyo kipindi cha mbowe wakti uongozi upya haukutaka .
 
Wasomi tujiulize sana kama kusoma tu kunatosha kuwa kiongozi. Mbowe hana elimu kubwa sana lakini alikiunganisha na kikawa kikubwa kwa miaka mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…