PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Na wewe hama unachelewa. Wao waliokuwa viongozi muda wao uliopita na waliokuwa na masomo yao. Viongozi wapya pia wana maono yao. Nyie ondokeni wote, sisi tupo na TAL.
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
Kati ya watu wapumbavu wewe ni mpumbavu, hivi ulivyokua unatoa povu ,pale mlimani city siku ya uchaguzi wa mwenyekiti , ulifikili umememaliza dunia , wewe si ndio ulisema chama chini ya Lissu kina kufa mapema sana?

Nakwambia utaona makuu ya uongonzi mpya wa chadema ukiwa hai , na Mungu akupe afya njema, , kwamba kumbe watu wameteseka ,wamefungwa , wamekufa ,kwa kukilinda chama ichi ,wakati huo wapo watu wakifyonza kwa mrija toka katika maumivu ya watu kama wewe / nyie ,

Mnaenda kulipa kikubwa mbele za Bwana ,mtapigwa kwa njia saba msione pa kutokea kama ccm, na chadema inaenda kuwa imara kuliko jana
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
Acha utapeli chama kimevunjikaje? Wapiga deal kuondoka nimafanikio na ushindi mkubwa kwa chama na umma wa wapenda haki mlifanya siasa za biashara sasa TAL amekuja kuwazima
 
Nyie matapeli wa siasa hamuwezi kusikitika. Kimsingi mnafurahia mambo yanavyoenda ndivyo sivyo kwa washindani wenu. Tofauti zenu hamkuzimaliza baada ya uchaguzi. Mmeonyesha udhaifu mkubwa sana sana.
 
Wamenunuliwa na ccm jamii ya wapenda haki imewadharau sana
Huko mitaani chamoto watakipata kila mtu amewajua kuwa ni madalali.
Na wamepotezea watu wengi muda wao.
 
Nimeumia sana, imenichukua masaa kadhaa kusema chochote baada ya uamuzi huu mgumu wa waliokuwa viongozi wakuu wa Chama changu Chadema Naibu Katibu Mkuu Bara Mh Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salumu Mwalimu na Waliokuwa wajumbe wa Sekretaieti yote ya Chama kujivua uanachama wa Chadema.

Nimeumia kwasababu tatizo hili uongozi mpya umeshindwa kulitibu tangu uchaguzi ulipomalizika, Tulishauri uongozi mpya uwaunganishe wanachama waliogawanyika baada ya Uchaguzi, Lakini walioshinda wakakomaza mafuvu na kutupuuza, wakatuita tuna madonda ya uchaguzi hayajapona kisha tukaitwa wasaliti na mwisho tukaitwa maccm. Haya ndio yametufikisha hapa.

Katika siasa lolote linatokea, huu ndio utofauti wa siasa na harakati, Mwanasiasa anafikiria kushika madaraka ili afanye mageuzi ya sheria na mifumo mbali mbalimbali ya kijamii. Wakati huo Mwanaharakati anafikiria kuhimiza mageuzi ya sheria na mifumo mbalimbali ya kijamii, Yaani mwanaharakati hafikirii kuitoa ccm madarakani bali kuishinikiza ccm ifanye mageuzi ya sheria na mifumo ya kijamii tu, Kwamba ccm ikitekeleza madai hayo, basi mwanasiasa huyo anaweza kuhamia tu katika madai mengine mfano haki ya wanafunzi wa kike kupewa taulo za kike, Haki ya wanaume kupata unyumba kwa wake zao, nk. Hii ndio tofauti kuu.

Ninawapongeza viongozi hawa kwa uamuzi wao ili wakatimize ndoto zao katika majukwaa mengine kwakuwa jukwa lako walilolijenga kwa maisha yao likawa jukwaa pendwa kwa umma limeharibiwa na wanaona linaenda shimoni. Vyama vya siasa ni vyama vya hiyari, ukiona hapa wenzio hawakutaki basi unatafuta jukwaa lingine.

Niwatakie mapambano mema huko waendako, Mimi nitapambana ndani ya Chadema ili kujaribu kukirejesha chama kwenye misngi yake na kuhakikisha chama kinafuata katiba na miongozo yake, Na kurejesha umoja na mshikamano uliojengwa kwa miaka mingi.

Nimeumia sana chama changu kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ tu za uongozi mpya!😭😭😭😭

WE SHALL WIN!

Na Yericko Nyerere

View attachment 3327116
Malizia iyo POMBE yako ya COMMON then lala.

Sisi chadema kwa Sasa ni NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Wote hawa wa pamoja hawana influence ya kuzidi hata ukucha wa TL
 
Wewe zuzu kumbe upo kitambo sijaona post zako🙄
 
Chadema ilijengwa kwa damu na jasho la watu, chadema kwa sasa hakuna chama cha upinzan kinachoweza kuitoa katika nafasi yake. Kwa kifupi hakuna mbadala wa chadema.

Hii ni kwa sababu ya uanzishwaji wake na namna kilivyoanzishwa pamoja na harakati na operation mbalimbali zilizofanyika miaka takribani 15 iliyopita.

Chana hicho hakiwez kupotea kwa sababu ya akina kigaila na wenzake wameondoka.

Hivi unaijua nguvu aliyokuwa nayo Dr. Slaa?? Au Zitto Kabwe, au akina Prof Kitila na wenzake?? Hawa wote waliondoka lakini chadema bado imeendelea kuhofiwa na watawala, jiulize hicho ni chama cha aina gani??

Hawa walioondoka bado hawaamin kama mbowe ameondoka kwenye kiti chake. Hawajakubali kama chama kinaweza kuongozwa na mtu mwingine tofauti na Mbowe.

Ushauri wangu kwa chadema. Waboreshe kitengo cha research, wafanye recruitment ya wasomi ndani ya chama walio na uwezo mkubwa wa kufanya analysis na kuja na sera mbadala.
 
Mkuu Yerricko unaweza kweli kusema Chanzo cha hawa G55 kuondoka ni uchaguzi au madaraka?
Hili ni swali muhimu sana, na linahitaji majibu ya kina. Sijui kama wanaotamka maneno ya kashfa na kejeli wanatambua kwamba uongozi ni mchakato wa kupokezana kwa heshima na kwa mujibu wa taratibu. Wale waliowahi kuondoka au kujiengua, ipo siku watajifunza kutoka makosa yao, na kama alivyofanya Dkt. Wilbrod Slaa, huenda wakarudi wakiwa wanyenyekevu kuomba radhi. Ni ajabu kuona jinsi watu wanavyokataa kujifunza kutokana na historia—kila siku wanazunguka kama kuku anayetafuta sehemu ya kutaga mayai, bila mwelekeo wala mpango wa maana. Hali hii siyo ya kujivunia hata kidogo.

Aidha, ni muhimu kuelewa kuwa siku 70 si kipimo sahihi cha ufanisi wa uongozi wa mtu yeyote. Ndiyo maana hata katika mifumo ya kimataifa, watu wengi hutumia angalau siku 100 za mwanzo kufanya tathmini ya awali ya mwelekeo wa uongozi mpya.

Tukumbuke pia kuwa huyu kiongozi sasa ndiyo kwanza ameanza rasmi majukumu yake. Hata hajamaliza siku 100 kazini, lakini tayari kuna njama za kimfumo zinazolenga kumdhoofisha. Wakati huo huo, baadhi ya walioko ndani ya chama wamejigeuza kuwa chokolaa wa kujitegemea, kazi yao ikiwa ni kuitisha mikutano ya waandishi wa habari kila wiki kwa lengo moja tu: kuvuruga utulivu na mshikamano wa chama. Tabia hii haioneshi uzalendo bali ni usaliti wa hali ya juu—sawa kabisa na Yuda Iskarioti. Hakuna mjadala hapo- Yuda iskarioti watupu- Period, kama ya kila baada ya siku 30 kwa akina mama, lazima wajisafishe.

Ni dhahiri kabisa kuwa njia wanayoifuata haina mwisho mwema. Mwisho wao utakuwa wa fedheha na majuto makubwa.

wameniudhi sana kwa jinsi wasivyo na huruma na damu za watu zilizopotea katika chama hiki, wanachama wakikipambania chama chao. Hata kama ni rushwa, wajitafakari kwa kweli. Damu ya watu iliyopotea itawalilia sana popote waendaka hawa wasaliti wakubwa, na mimi nasema wanastahili iwalilie- waache kuwa opportunist wa madaraka.
 
Back
Top Bottom