Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

Na wanaoamini hivi kuwa hata 2025 CCM watafanya hivi na hakuna wa kuwazuia ndio wanaopiga makelele kuwa Lissu ni mropokaji na hana hakima. Tunahitaji waropokaji ili wapate shinikizo la matendo yao maovu

Hao hata upige makelele vipi hawaelewi wataendelea kufanya kama kawaida mpaka waTZ wote akili zikikaa sawa na kupinga kwa kuingia barabarani ndiyo itakoma ,tukiwaachia CDM peke yao hawawezi sanasana wataishia kuwapiga risasi au kuwateka mmoja mmoja.
 
Ila bora tuwe na waropokaji kuliko yes men
 
Ndio siasa ilivyo ni kama timu ya mpira tu
 
Bogus
 
Ni shida sana DUNIA kuwa na watu aina yako wasio na thamani yoyote ile
Wewe chawa ndiye huna faida yoyote hata mavi yanaweza kugeuzwa samadi yakawa na faidi lakini wewe ni chukizo duniani hata mbinguni. Mwanaume kujigeuza matumizi ni mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…