Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Unalipa kodi weye? How?Kwani hujui Ruzuku ya CHADEMA inatokana na kodi yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalipa kodi weye? How?Kwani hujui Ruzuku ya CHADEMA inatokana na kodi yangu
Sasa mimi na ccm nahusikaje?Wewe pia punguza kamdomo,dunia ngumu hii, na mwaka huu ccm inaondoka kisa ka mdomo kenu, huwe unasikilizia kwanza wana wa Mungu kama mie wanasema nini? ,
Kamdomo, kamdomo ,kamdomo ,punguza
We ni kiongozi wa jimbo gani mkuu?si sawa hata kidogo kudhihaki viongozi wa wananchi my friends, ladies and gentlemen 🐒
View attachment 3210317
Wewe kidampa risiti zako zipo kuhusu Mbowe huyu huyu unayejidai umeumizwa kuondolewa kwake ni mwaka jana tu uliandika hafai kuendelea kuwa mwenyekiti ulivyokuwa kidampa msahaulifu ukadhani wote humu wasahaulifu kama wewe.. Mkuu umepiga kwenye mshono wa busha hapo lazima miguu itawanywe.
kwenye
Gentleman pole sana ndugu yako penis-we kanyang'anywa tonge mdomoni gentlemansi sawa hata kidogo kudhihaki viongozi wa wananchi my friends, ladies and gentlemen 🐒
Mtajutia uamuzi wenu huo wa Mihemuko.
Mwisho wa dunia ya nani?CCM itaendelea kuongoza Taifa letu mpaka mwisho wa Dunia
Wacha propaganda za kisenge wewe mtoto, Mbowe alikuwa hana issue tena CHADEMA, alishindwa urais na alikuwa hana muelekeo wowote wa kukiendeleza chama zaidi ya kucheza makida makida tu na CCM. Apotee tu, tushamchoka.Ndugu zangu Watanzania,
Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake.
Ushindi huo umeniumiza,kunisikitisha ,kunihuzunisha na kunisononesha sana. Ni ushindi ambao unaiweka CHADEMA katika hatari ya kusambaratika,ni ushindi ambao utapelekea kupoteza wanachama wengi kutokana na misuguano ya ndani kwa ndani. Ni ushindi ambao haukustahili kuelekea Mikononi Mwa watu kariba ya lissu na Heche.
Hao watu wana midomo michafu sana,ni wabaguzi sana na wenye mioyo iliyo jaa sumu ya chuki kubwa sana vifuani pao. Mimi binafsi namchukia sana Lissu siyo kwa sababu yupo CHADEMA nami nipo CCM. namchukia Lissu kwa sababu ya mdomo wake Mchafu na wa Uropokaji.
Mdomo wa Lissu mara nyingi umetumika kuchochea sana na kupandikiza chuki ,uhasama na ubaguzi hapa Nchini.Ameutumia Mdomo wake bila Breki kumtukana na kumbagua Rais wetu. Kiasili mimi sipendi mtu mbaguzi na mwenye chuki kama aliyonayo lissu kifuani pake.
Sijawahi kufurahishwa wala kupenda namna lissu alivyokuwa akimdhalilisha Rais wetu majukwaani kwa sababu ya Uzanzibari wake na uwanamke wake. Kwa sababu mimi naamini uongozi au kiongozi bora na mzuri siyo suala la jinsia bali ni uwezo wa mtu binafsi na kipawa na Karama aliyo jaaliwa na Mungu kiuongozi.
Lakini sote ni mashahidi wa namna lissu ambavyo alikuwa akimbagua Rais wetu kwa kusema huyu ni Mzanzibari na hana uchungu na Taifa hili na kauli nyingine mbalimbali za kutweza utu wa Rais wetu. Sasa mtu wa aina hii na mwenye mawazo ya kibaguzi hataishia kumbagua Rais wetu tu ambaye anajua fika ni Mtanzania na mwenye haki zote za kitanzania.
Mdomo wa Lissu unanifanya nimchukie kwa sababu najua atafanya kazi ya kueneza chuki ,ubaguzi,fitina ,marumbano yasiyo na tija pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu. Kwa sababu yeye ni mtu ambaye akili yake anaijua Mwenyewe na inavyomuongoza.
Lakini mimi niseme tu kuwa ni aidha akubali njia ya maridhiano ambayo Mheshimiwa Mbowe alikuwa ameiongoza. Kwa sababu siasa za jino kwa jino hataziweza na itakuwa ni ngumu sana kuziendesha hapa Nchini. Ni siasa ambazo zimeumiza wengi,kuwaacha wengi na vilema,kuwafanya wengi kupoteza maisha,masomo,ajira ,kupoteza marafiki na hata wengine kupoteza kabisa muelekeo mpaka leo hii hususani kundi la vijana.
Hivyo asifikirie kuwa siasa za muundo huo na zenye misimamo mikali zitafanikiwa hapa Nchini. Hakuna anayeweza kuandamana mbele ya polisi ambao wamepiga marufuku jambo fulani kufanyika. na wala hakuna atakayekuwa tayari kuhatarisha usalama wake na Maisha yake barabarani. katika hilo namuhakikishia kuwa hatafanikiwa hata kidogo.
Isitoshe watanzania wa sasa wanatambua ya kuwa wapinzani wa Tanzania wanaongozwa na matumbo yao tu yaani uchumia tumbo tu. Kwa sasa upinzani hauaminiki hata kidogo kwa wananchi maana wanajua ni vigeugeu tu. kwa hiyo Lissu akitaka aendeshe siasa za kibabe basi ataishia kuumia tu. kwa sababu vyombo vyetu vya ulinzi hususani jeshi la polisi halitakuwa tayari kuona chama au mtu fulani anataka kuleta na kuchochea uasi hapa Nchini.
CHADEMA wamepoteza chaguo sahihi na kuchagua mtu asiye stahili kuiongoza CHADEMA. Najua mnafuraha ya muda mfupi kwa baadhi yenu. Ila mtalia sana na kumkumbuka mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini. Muda ni Mwalimu mzuri sana.Ngoja tuupe muda nafasi ili uwapeni majibu . Siku yaja ambapo mtalia na kububujikwa na machozi ya huzuni na kumkumbuka sana Mheshimiwa Mbowe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kanye ulale maana mchango wowote kwenye uso wa dunia.Ndugu zangu Watanzania,

Maumivu kama haya yanatulizwa na sumu ya panya tu au bunduki kichwani baaaaaasi!Ndugu zangu Watanzania,

Ukishazoea kula nyama ya mtu hauwezi kuacha ,hii imeonekana kwa mnyama simba ,akishakula mtu inabidi atafutwe na rangers auawe maana ukimuacha anaweza kumaliza kijiji ,SISIEMU washaonja utamu wa UCHAFUZI ,kupita bila kupingwa hivyo hata 2025 watatumia mbinu hiyo hiyo ya kuwaengua wapinzani na hakuna cha kufanya.Maneno ya watu wa hovyo ambao wanachukulia uchafuzi wa 2024 kuwa ni kigezo cha kujenga hoja za hovyo, CCM mmoja mwenye hekima Jaji Warioba aliyekemea ukiukwaji huu wa sheria na taratibu za uchaguzi
Acha mvua inyeshe tuone panapovuja ,mtoto kautaka.Kumbe bila Mbowe Chadema haina maisha?.....chama kimachosimama kwa kutegemea utashi/fadhila za mtu mmoja hakifai kuaminiwa.
kumbe kulikua na kulabugia matonge huko gentleman?Gentleman pole sana ndugu yako penis-we kanyang'anywa tonge mdomoni gentleman
ni miongoni mwa wa viongozi wa majimbo yanayofanya vizuri sana katika sekta za afya, maji na elimu humu nchini.We ni kiongozi wa jimbo gani mkuu?
Ndio nalipaUnalipa kodi weye? How?
CCM haiwezi kusambaratika hata siku moja.Mkuu tuliza adrenal glands zako, hata chadema na ccm zisambaratike sasahivi na kubaki majivu kitaibuka chama cha Tanzania ya watanzania wote, na tutasonga mbele kikubwa amani na umona wa Taifa. Usiweke tumaini lako kwenye vyama.