King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Chama kinaenseshwa na Wanachama sio Mtu mmoja
Ndiyo amewaachia mkiendeshe....Sisi hatuna hiyana mkipitisha BAKULI tutachanga tu lengo SISIEMU wasipate ahueni ya kupumua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama kinaenseshwa na Wanachama sio Mtu mmoja
marais wapo wengi ,kuna rais wa manzese ,rais wa Akudo ,be specific.Watakimbia saa ngapi wakati 2025 TL ndie Raisi
Aa
Infact,Wamekupa uongozi wa jimbo la hovyo na mzee mwenzio wa hovyo kapewa ulaji wa umakamu mwenyekiti, chama cha hovyo kinawapa teuzi wazee wa hovyo waliochoka akili zao za hovyo. Tutegemee nini sasa?
Hata CCM inapitisha bakuli na kuchukua kwanguvuNdiyo amewaachia mkiendeshe....Sisi hatuna hiyana mkipitisha BAKULI tutachanga tu lengo SISIEMU wasipate ahueni ya kupumua.
Maneno ya watu wa hovyo ambao wanachukulia uchafuzi wa 2024 kuwa ni kigezo cha kujenga hoja za hovyo, CCM mmoja mwenye hekima Jaji Warioba aliyekemea ukiukwaji huu wa sheria na taratibu za uchaguziMkuu unachekesha sana ,ruzuku wanayopata kwa sasa ni 107m ambayo hata haitoshi tu kuhudimia makao makuu na hiyo ruzuku mwisho October maana uchaguzi wa 2025 wanapigwa tena za USO, Uchaguzi wa serikali za mitaa umeona.
Kabla ya February kuisha kutakuwa na maandamano kupinga tume ya uchaguzi na kudai katiba mpya. CCM na Polisi mjiandae.Ndugu zangu Watanzania,
Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake.
Ushindi huo umeniumiza,kunisikitisha ,kunihuzunisha na kunisononesha sana. Ni ushindi ambao unaiweka CHADEMA katika hatari ya kusambaratika,ni ushindi ambao utapelekea kupoteza wanachama wengi kutokana na misuguano ya ndani kwa ndani. Ni ushindi ambao haukustahili kuelekea Mikononi Mwa watu kariba ya lissu na Heche.
Hao watu wana midomo michafu sana,ni wabaguzi sana na wenye mioyo iliyo jaa sumu ya chuki kubwa sana vifuani pao. Mimi binafsi namchukia sana Lissu siyo kwa sababu yupo CHADEMA nami nipo CCM. namchukia Lissu kwa sababu ya mdomo wake Mchafu na wa Uropokaji.
Mdomo wa Lissu mara nyingi umetumika kuchochea sana na kupandikiza chuki ,uhasama na ubaguzi hapa Nchini.Ameutumia Mdomo wake bila Breki kumtukana na kumbagua Rais wetu. Kiasili mimi sipendi mtu mbaguzi na mwenye chuki kama aliyonayo lissu kifuani pake.
Sijawahi kufurahishwa wala kupenda namna lissu alivyokuwa akimdhalilisha Rais wetu majukwaani kwa sababu ya Uzanzibari wake na uwanamke wake. Kwa sababu mimi naamini uongozi au kiongozi bora na mzuri siyo suala la jinsia bali ni uwezo wa mtu binafsi na kipawa na Karama aliyo jaaliwa na Mungu kiuongozi.
Lakini sote ni mashahidi wa namna lissu ambavyo alikuwa akimbagua Rais wetu kwa kusema huyu ni Mzanzibari na hana uchungu na Taifa hili na kauli nyingine mbalimbali za kutweza utu wa Rais wetu. Sasa mtu wa aina hii na mwenye mawazo ya kibaguzi hataishia kumbagua Rais wetu tu ambaye anajua fika ni Mtanzania na mwenye haki zote za kitanzania.
Mdomo wa Lissu unanifanya nimchukie kwa sababu najua atafanya kazi ya kueneza chuki ,ubaguzi,fitina ,marumbano yasiyo na tija pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu. Kwa sababu yeye ni mtu ambaye akili yake anaijua Mwenyewe na inavyomuongoza.
Lakini mimi niseme tu kuwa ni aidha akubali njia ya maridhiano ambayo Mheshimiwa Mbowe alikuwa ameiongoza. Kwa sababu siasa za jino kwa jino hataziweza na itakuwa ni ngumu sana kuziendesha hapa Nchini. Ni siasa ambazo zimeumiza wengi,kuwaacha wengi na vilema,kuwafanya wengi kupoteza maisha,masomo,ajira ,kupoteza marafiki na hata wengine kupoteza kabisa muelekeo mpaka leo hii hususani kundi la vijana.
Hivyo asifikirie kuwa siasa za muundo huo na zenye misimamo mikali zitafanikiwa hapa Nchini. Hakuna anayeweza kuandamana mbele ya polisi ambao wamepiga marufuku jambo fulani kufanyika. na wala hakuna atakayekuwa tayari kuhatarisha usalama wake na Maisha yake barabarani. katika hilo namuhakikishia kuwa hatafanikiwa hata kidogo.
Isitoshe watanzania wa sasa wanatambua ya kuwa wapinzani wa Tanzania wanaongozwa na matumbo yao tu yaani uchumia tumbo tu. Kwa sasa upinzani hauaminiki hata kidogo kwa wananchi maana wanajua ni vigeugeu tu. kwa hiyo Lissu akitaka aendeshe siasa za kibabe basi ataishia kuumia tu. kwa sababu vyombo vyetu vya ulinzi hususani jeshi la polisi halitakuwa tayari kuona chama au mtu fulani anataka kuleta na kuchochea uasi hapa Nchini.
CHADEMA wamepoteza chaguo sahihi na kuchagua mtu asiye stahili kuiongoza CHADEMA. Najua mnafuraha ya muda mfupi kwa baadhi yenu. Ila mtalia sana na kumkumbuka mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini. Muda ni Mwalimu mzuri sana.Ngoja tuupe muda nafasi ili uwapeni majibu . Siku yaja ambapo mtalia na kububujikwa na machozi ya huzuni na kumkumbuka sana Mheshimiwa Mbowe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kumbe bila Mbowe Chadema haina maisha?.....chama kimachosimama kwa kutegemea utashi/fadhila za mtu mmoja hakifai kuaminiwa.CHama kinaenda kufa , kuendesha chama kinahitaji fedha.
Mbowe kashaachana nacho anaenda kusimamai biashara zake.
Mbowe alikuwa anawawezesha baadhi ya makada kufanya siasa ila mnyaturu hawezi ,wengi watakimbia.
Acha ujinga dogoHili ni taahira kabisa yaani babake aliuza mbuzi kusomesha ndezi
Ndugu zangu Watanzania,

Watu wanajua kucheza rafu wamemtatua vibaya mnoNasikia hata akipiga chafya nya zinatoka ovyo
Tabula rasa. Take a chill pill and swallow the watermelonNdugu zangu Watanzania,

Bora kife kwa misimamo, kuliko kiwe hai kwa kujipendekeza kwa majizi ya ccm.CHama kinaenda kufa , kuendesha chama kinahitaji fedha.
Mbowe kashaachana nacho anaenda kusimamai biashara zake.
Mbowe alikuwa anawawezesha baadhi ya makada kufanya siasa ila mnyaturu hawezi ,wengi watakimbia.
CCM siyo chama tegemezi. Ni chama kinachojitosheleza kwa kila kituHata CCM inapitisha bakuli na kuchukua kwanguvu
Jee wewe unaedhihaki wazee wa watu.si sawa hata kidogo kudhihaki viongozi wa wananchi my friends, ladies and gentlemen 🐒
Inakuhusu nini issue za ChademaNdugu zangu Watanzania,
Uchaguzi wa CHADEMA umemalizika Rasmi kwa Tundu Lissu Kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Sanjali na John Heche Kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wake.
Ushindi huo umeniumiza,kunisikitisha ,kunihuzunisha na kunisononesha sana. Ni ushindi ambao unaiweka CHADEMA katika hatari ya kusambaratika,ni ushindi ambao utapelekea kupoteza wanachama wengi kutokana na misuguano ya ndani kwa ndani. Ni ushindi ambao haukustahili kuelekea Mikononi Mwa watu kariba ya lissu na Heche.
Hao watu wana midomo michafu sana,ni wabaguzi sana na wenye mioyo iliyo jaa sumu ya chuki kubwa sana vifuani pao. Mimi binafsi namchukia sana Lissu siyo kwa sababu yupo CHADEMA nami nipo CCM. namchukia Lissu kwa sababu ya mdomo wake Mchafu na wa Uropokaji.
Mdomo wa Lissu mara nyingi umetumika kuchochea sana na kupandikiza chuki ,uhasama na ubaguzi hapa Nchini.Ameutumia Mdomo wake bila Breki kumtukana na kumbagua Rais wetu. Kiasili mimi sipendi mtu mbaguzi na mwenye chuki kama aliyonayo lissu kifuani pake.
Sijawahi kufurahishwa wala kupenda namna lissu alivyokuwa akimdhalilisha Rais wetu majukwaani kwa sababu ya Uzanzibari wake na uwanamke wake. Kwa sababu mimi naamini uongozi au kiongozi bora na mzuri siyo suala la jinsia bali ni uwezo wa mtu binafsi na kipawa na Karama aliyo jaaliwa na Mungu kiuongozi.
Lakini sote ni mashahidi wa namna lissu ambavyo alikuwa akimbagua Rais wetu kwa kusema huyu ni Mzanzibari na hana uchungu na Taifa hili na kauli nyingine mbalimbali za kutweza utu wa Rais wetu. Sasa mtu wa aina hii na mwenye mawazo ya kibaguzi hataishia kumbagua Rais wetu tu ambaye anajua fika ni Mtanzania na mwenye haki zote za kitanzania.
Mdomo wa Lissu unanifanya nimchukie kwa sababu najua atafanya kazi ya kueneza chuki ,ubaguzi,fitina ,marumbano yasiyo na tija pamoja na kuhatarisha usalama wa Taifa letu. Kwa sababu yeye ni mtu ambaye akili yake anaijua Mwenyewe na inavyomuongoza.
Lakini mimi niseme tu kuwa ni aidha akubali njia ya maridhiano ambayo Mheshimiwa Mbowe alikuwa ameiongoza. Kwa sababu siasa za jino kwa jino hataziweza na itakuwa ni ngumu sana kuziendesha hapa Nchini. Ni siasa ambazo zimeumiza wengi,kuwaacha wengi na vilema,kuwafanya wengi kupoteza maisha,masomo,ajira ,kupoteza marafiki na hata wengine kupoteza kabisa muelekeo mpaka leo hii hususani kundi la vijana.
Hivyo asifikirie kuwa siasa za muundo huo na zenye misimamo mikali zitafanikiwa hapa Nchini. Hakuna anayeweza kuandamana mbele ya polisi ambao wamepiga marufuku jambo fulani kufanyika. na wala hakuna atakayekuwa tayari kuhatarisha usalama wake na Maisha yake barabarani. katika hilo namuhakikishia kuwa hatafanikiwa hata kidogo.
Isitoshe watanzania wa sasa wanatambua ya kuwa wapinzani wa Tanzania wanaongozwa na matumbo yao tu yaani uchumia tumbo tu. Kwa sasa upinzani hauaminiki hata kidogo kwa wananchi maana wanajua ni vigeugeu tu. kwa hiyo Lissu akitaka aendeshe siasa za kibabe basi ataishia kuumia tu. kwa sababu vyombo vyetu vya ulinzi hususani jeshi la polisi halitakuwa tayari kuona chama au mtu fulani anataka kuleta na kuchochea uasi hapa Nchini.
CHADEMA wamepoteza chaguo sahihi na kuchagua mtu asiye stahili kuiongoza CHADEMA. Najua mnafuraha ya muda mfupi kwa baadhi yenu. Ila mtalia sana na kumkumbuka mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini. Muda ni Mwalimu mzuri sana.Ngoja tuupe muda nafasi ili uwapeni majibu . Siku yaja ambapo mtalia na kububujikwa na machozi ya huzuni na kumkumbuka sana Mheshimiwa Mbowe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe pia punguza kamdomo,dunia ngumu hii, na mwaka huu ccm inaondoka kisa ka mdomo kenu, huwe unasikilizia kwanza wana wa Mungu kama mie wanasema nini? ,Tlaatlaah ni mbunge wa jimbo jipya la hovyo 😅