Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

Upo kwenye hili group 😀
Screenshot_20250122-152532.png
Screenshot_20250122-152803.png
 
Nasikia we ni kuwadi, nitafutie no ya mtoto wa mbowe nizalishe wajukuu wewe na yeye muanze mulee.
 
CHama kinaenda kufa , kuendesha chama kinahitaji fedha.

Mbowe kashaachana nacho anaenda kusimamai biashara zake.

Mbowe alikuwa anawawezesha baadhi ya makada kufanya siasa ila mnyaturu hawezi ,wengi watakimbia.
Na ruzuku je?,.SI watatumia ruzuku?
 
Na ruzuku je?,.SI watatumia ruzuku?
Mkuu unachekesha sana ,ruzuku wanayopata kwa sasa ni 107m ambayo hata haitoshi tu kuhudimia makao makuu na hiyo ruzuku mwisho October maana uchaguzi wa 2025 wanapigwa tena za USO, Uchaguzi wa serikali za mitaa umeona.
 
CHama kinaenda kufa , kuendesha chama kinahitaji fedha.

Mbowe kashaachana nacho anaenda kusimamai biashara zake.

Mbowe alikuwa anawawezesha baadhi ya makada kufanya siasa ila mnyaturu hawezi ,wengi watakimbia.
Chama kinaenseshwa na Wanachama sio Mtu mmoja
 
Back
Top Bottom