Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

Wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA hawana tofauti na wayahudi walioona ni bora mhalifu Baraba aachiwe ili Messiah Yesu asulubiwe. Watajutia mno.
 
umebubujikwa na Machozi au bado?
 
Ni biashara gani hizo ambazo hazina TIN NUMBER?! Tundu lisu amewai kuhoji..

Naona umeanza kuonyesha FEAR OF UNKNOWN ( Principal of politics)

Mkuu kuna taasisi zina mamlaka ya kurequest taarifa za mtu au biashara zake na zikapewa ,mimi ,wewe au Lissu hana authority ya kurequest TIN/info za biashara za mbowe ,kama una wasiwasi basi fungua kesi kumshitaki mbowe na biashara zake hazina TIN ,then mamlaka husika watapeleka ushahidi mahakamani.
 
Kikubwa asipewe nafasi ya Kuharibu Nchi
 
Muda wa kuandika chuki yote hii huwa unapata wapi?
 
Unawashwa ukiwa wapi?
 
Wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA hawana tofauti na wayahudi walioona ni bora mhalifu Baraba aachiwe ili Messiah Yesu asulubiwe. Watajutia mno.
Acha kamdomo wewe, ichi ni chama na kipo mikono sahii, Mbowe anasema mwoyo wake mweupe , sasa wewe nani ,kamdomo acha
 
Mkuu
Kama Lisu na Hsche wana mdomo mchafu wewe wakwako unadhani tutauitaje? Wahenga waswahili wanasema nyani hajioni makalio yake.Lakin ucjali maana mdomo wa Lisu n Heche hauna madhara ksa taifa maana sio watawala na hawatashinda uchaguz. Au unataka kusema kwa chuki hiyo unasikitika kwanini Lisu hakufa kwenye lile shambulio?
 
Choice variable, Tlaatlaah, Lukas Mwanshambwa, malaria sugu, magonjwa mtambuka, Johnthebabtist😳.Hawa jamaa sijawahi kuwaelewa.Wamehifadhi chuki kubwa sana juu ya CHADEMA.
 
Nilitoa angalizo mapema sana kwenye jukwaa hili kwamba ,kama kuna mtu amechukua kibunda cha mahala arudishe mapema ,uchaguzi ulishakwisha ,ham kuelewa, sasa mnalia lia nini,
 
Baki ccm, omba upatiwe uteuzi, umesoma, kitabu cha kabendera!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…