Nimeumia sana na sijafurahishwa na ushindi wa Tundu Lissu

CHama kinaenda kufa , kuendesha chama kinahitaji fedha.

Mbowe kashaachana nacho anaenda kusimamai biashara zake.

Mbowe alikuwa anawawezesha baadhi ya makada kufanya siasa ila mnyaturu hawezi ,wengi watakimbia.
Lissu ni radical hilo halina ubishi.
Anadai lugha itakayofanya CCM wafanye maridhiano na Chadema kuruhusu katiba mpya ni mapambano na si vinginevyo.
Kwa lugha nyepesi anaona njia ya mazungumzo kistaarabu yameshindikana.
Je atahimili mapigo na vyombo vya usalama?
Je kama kashindwa kushawishi utawala nani wa kulaumia?
Je yeye kama yeye anao ubavu wa kupambana akiwa bega kwa bega na wafuasi wake?
Bado ni mapema mno kuona Lissu atakavyoendesha harakati zake,ndio kwanza kavaa viatu vya Mbowe.
 
Pamoja na Mbowe kushindwa, hizo kura zake sijui kama ni za kweli. Uhalali halisi ungekuwepo huenda angepata robo ya kura za Lissu.
 
CHADEMA KIMEPITA SALAMA ✌️✌️✌️
TUNAMSUBIRI DR.SLAA AREJEE ULINGONI.

PEOPLE'S POWER!!!!
 
ni dhihaka kwa Mungu kumfananisha mwanasiasa na Yesu, Yesu kristo alijitoa sadaka voluntary , wanasiasa wa bongo hakuna hata mmoja amedhubutu kuweka uhai wake on the line. Have some respect
Mnakuwaga na tafsiri za kimaku kwenye mambo ya kawaida kabisa.
 
Kumaanisha
 
Tafuta kaambaaa.
 
CHama kinaenda kufa , kuendesha chama kinahitaji fedha.

Mbowe kashaachana nacho anaenda kusimamai biashara zake.

Mbowe alikuwa anawawezesha baadhi ya makada kufanya siasa ila mnyaturu hawezi ,wengi watakimbia.
Wanachama tuko tayari kutoboa mifuko yetu chama kielee na sii kizamishwe.
 
Hongera kwa kuvimba. Jitahidi upasuke kabisa. Lissu ndiye raisi wako 2025-2030. Nchi ya Tanganyika lazima itawaliwe na watanganyika. Hakuna janjajanja.
 
KURA HAZIKUTOSHA BRO,POLE YAKO
 

WEWE ni nani?? Inakuhusu nini?? Mnaach kumjadili wasira mnakuja kwa Tundu Lissu.

Mlisema hashindi lakini mmeumbuka Sasa!! Mnaamua kuleta nyuzi ambazo hazina kichwa wala miguu!!

Kushinda bkwa Tundu Lissu mmeumia sana, maumivu kama ya PEMBE LA NG'OMBE πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€”

Nimekumbuka wimbo wa Bi Kidude MUHOGO WA JANG'OMBE πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…
 
Kunywa sumu ya panya ili usahau hayo mawazo.
 
Yaani. Labda atapata busara za uongozi sasa.🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…