Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Kwakweli story ni tamu, natamani niitengenezee movie...
 
piga qumbu wewe, unadhani mkeo yeye katulia tu!, kwamba haguswi!
wanawake ni wajajnja sana,
piga
ila uwe na mipango dhabiti ya kutoharibu upande wowote.

wanawake ni wengi kuliko wanaume, kwani hao wengine hawahitaji huduma?
mungu aliwaumba wanyanyasike kwa kukosa hicho kifaa??

piga qumbu huyo!!
 
Piga mashine mkuu,don't fear ohooo.tena simamisha usiwe na hofu na usipanic mkune vilivyo.
Na utuletee mrejesho
 
Nimependa kingereza chako.. sio cha kuunga unga..

Nikuje unifundishe na mimi mara moja moja?

Karibu mkuu ila usitegemee " nyama roast na ndizi iliyopikwa vizuri" unless kama utakuja na kilo zako tatu za steak mixed na kidari 🙄
 
teh teh teh teh
 
Uzinzi ni Dhambi, na itakuwa dhambi mpaka siku ya mwisho.
 
Reactions: Ame
Karibu mkuu ila usitegemee " nyama roast na ndizi iliyopikwa vizuri" unless kama utakuja na kilo zako tatu za steak mixed na kidari 🙄
Ntakuja hadi na ndimu..

Ukiwa unapost please tag me as huku hakuna post notification kama insta..
 
No.mkuu usimharibie future.Huyo malaika
Kwa maoni yangu hakika amekuheshim sana n is a woman to.keep
Fanya ufanyavyo don't loose her
 
wanawake wote wangekua kama wewe ndoa ingekuwa tamu sana.sikuwahi amini kwamba mume na mke wanaweza lala vyumba tofauti mpaka ilivyonitokea.Niliingia mtego kama huu tena huyu jamaa asipokuwa serious atanogewa mpaka ajisahau.....
 
Si mchezo mkuu, kuna jambo nimejifunza hapa.
 
Chako kikiianza kuliwa uje ulete mrejesho[emoji419][HASHTAG]#Tunza[/HASHTAG] ndoa yako#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…