Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Tujifunze kuwakimbia wanawake na kulinda ndoa zetu maana mwisho wa siku ni kujipa stress. ahsane ndugu kwa story yako inatufundisha mengi. ushauri ni kufanya mpango E ahame ofisi maana mkiendelea kukaa pamoja haya mambo yatajirudia maana ataanza kukukalia vibaya na utaendelea kumtamani na kwa vile umeshanvua chupi itakuwa vigumu kushinda. pili nenda kwa Mungu na kutubu akupe uwezo wa kushinda maana majaribu ya wanawake ni magumu sana kushinda bila uwezo wa Mungu.
 
Duh, the perks of letting the small head rule the big one! Enewei..............................

Mkuu ukienda job just pretend like nothing happened! . Do not allow miss E any air time to reminisce about the encounter nor the any of your escapades. Be the same but slighty different. i.e. Maintain a friendly and courteous demeanor but ensure you keep all your interactions and "convos" within a professional line.
Nimependa kingereza chako.. sio cha kuunga unga..

Nikuje unifundishe na mimi mara moja moja?
 
Daah!
Mkuu umeipanga stori vizuri kishenzi yaan. Big up endelea kutupa mikasa yako hapa ikikutokea.
Ki ufupi tu ni ulichepuka na mkeo kwa kuwa bado hajajua basi piga kimya songa mbele hayo mambo ya kuteleza yapo.
Pili kuhusu E fanya mpango akuelewe msimamo wako na weka mipaka msije mkarudia tena kwa namna yoyte, japo ningekuwa mimi ndio wewe ningeomba kwanza mechi ya marudio nimuweke E vzuri halafu ndio nimuache moja kwa moja.
Big up kwa stori kali mzee
Wanaume hatutakagi ujinga
 
Tujifunze kuwakimbia wanawake na kulinda ndoa zetu maana mwisho wa siku ni kujipa stress. ahsane ndugu kwa story yako inatufundisha mengi. ushauri ni kufanya mpango E ahame ofisi maana mkiendelea kukaa pamoja haya mambo yatajirudia maana ataanza kukukalia vibaya na utaendelea kumtamani na kwa vile umeshanvua chupi itakuwa vigumu kushinda. pili nenda kwa Mungu na kutubu akupe uwezo wa kushinda maana majaribu ya wanawake ni magumu sana kushinda bila uwezo wa Mungu.
Ni kweli mkuu nimekutana na mengi lakini sio kumsaliti mke wangu kwa mechi za nje, ukiwa busy sana kiofisi na kuwa serious serious kuna madhara pia.
 
pole mkuu,E kakuweka kwenye imaya na usipoangalia atakuharibia kabisa,act like a man kuwa sserious hapo ofisini ingawa E atakusumbua sana lengo lake toka mwanzo ni kukumiliki wewe si ajabu badae akaja kuvunja ndoa yako kabisa
Fact
 
Back
Top Bottom