Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

kwanza kabisa elewa mkeo anagongwa,,,, seriously... na wewe umekamilisha urijali wako kwa kumgonga staff mate wako...hongera sana,,,, unahitaji ukakamavu mkuu,,, E ana mlo mtamu ajabu (nimekunukuu),,, jichunguze kuna wimbo unaoupenda na huwa unajirudia akilini mwako na kuuimba bila kujijua...!!!!! uko tayari ukimuona E anagongwa na staff mwenzako hapo ofcn?? wanawake ni viumbe hatari sana......jiandae kukabiliana na yote....elewa bi mkubwa nae keshakustukia.....anakulia timing.......kuwa makini sana.
nimekusoma vyema
 
Tatizo la hi kitu kwa wengi ni sawa na kumwambia mteja aache unga. Kikubwa mkuu weka msimamo na usimamie
 
Acha uzinzi!

Nilichojifunza tu ni kuwa wanawake muwe karibu na waume zenu kuondoa vishawishi kama hivi!! Huyu jamaa kamsaliti mkewe sababu ya tofauti zao za week 3 tu!!
 
Huwa sipendi sn kuchangia mada za wazinifu.. Kwanini hukuja kuomba ushaur kabla ya kula vitu vyako?! Asa hivi kinasumbua nini we tulia tu. Ilimradi usirudie tn na mwanaume ni msimamo si kingine
 
Erick Shigongo hatimaye anapata washindani wake! Mwanzo mzuri endelea na utunzi huu, uko vizuri
 
Hii ndoa tayari ipo Lehani, sooni itapata mchuuzi akaipige bei ....hongera sana shemeji umepata kisichokustahili
 
Saa hizi ni mchana,hebu tuambie sasa mmewezaje kukutana na E hapo ofsini?

Au kila mmoja akimuona mwenzake anakula kona?
 
Mm nilijua unamuomba msamaha wife kwa kwa kudate na E but labda ungemuomba msahamaha E kwa kutoa weak game kwa sababu yy ndio alikushawish subir itokee part 2_kwa mkeo uone ladha ake
 
kama story ya kutungwa vile?? ishu ni mchepuko, lakini story nyingiii, unafaa kuwa kwenye shigongo co.
 
Back
Top Bottom