Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Nimeumia sana! Nisamehe E, sitakuchafua tena

Unaolewa lini?!...if ur current bf mmekuwa pa1 for that long kwann asiweke mambo ndani kbs
Hahaaaa.... Si mpaka aamue jamani... Can't force him to propose.. Pia hatuna muda mrefu sana kwenye mahusiano
 
Niliposoma tu na kufika hapa nikaamua nisisome tena:

" na she told me yuko safe kuanzia wakati ule kwasababu alikuwa amemaliza mzunguko siku si nyingi, nikamwambia let do it tomorrow!

That means umelala naye bila kinga? huu ujinga sijui unatoka wapi kwa watu wazima.

Wakuu,
Naandika hapa kama sehemu ya kuomba ushauri pia.
I have my wife, over recently tumekuwa na mikwaruzano ya hapa na pale chanzo kikiwa ni yeye kwenda kinyume na utaratibu tuliojiwekea, hakuonyesha hata dalili zakuomba msamaha, ilinibidi nitumie nafasi kama Baba kujitenga kidogo nae.

Kiukweli niliona wife akijaribu ununda...Nilimwambia ahame chumbani kwa muda na bila hiyana akahama baada ya kama wiki hivi akaniandikia meseji kuomba msamaha, nilimwambia tu mi bado sijawa tayari, kumsamehe na ni kwanini aombe msamaha kwa njia ya meseji, niliona hakuwa na nia ya dhati ya kuomba msamaha.

Nilivyomwambia ukweli, aliamua kukaza! Huwa tunafanya mambo mengine kama kula pamoja, ili tu binti yetu asione tofauti zetu, wakati wa kulala ndiyo hivyo ataenda kulala chumba kingine.

Zikaisha kama wiki mbili hivi bado mkazo unaendelea.
Sasa kuna bidada tupo nae ofisi moja, huyu mtu mara nyingi sana huwa ananishawisi tufanye outing, anajua nimeoa na mara nyingi huwa ananiambia nisimfikirie vibaya...

Ile Alhamisi ni kama vile alihisi mambo hayajakaa vema home, aliniomba sana kampani yakushiriki nae kwenye function moja ya rafiki yake wa karibu iliyokuwa inafanyika ijumaa jioni, nilimwambia huwa sina utaratibu wakutoka usiku bila kuongozana na wife... Alinisihii sana, nikaona isiwe tabu.

Nikamwambia atafute sehemu nitakayoweza kwenda nikitoka job ili nisiende nyumbani kabisa, nivinjari hapo niunganishe na party. Alinikomalia sana niende kwake as hapo anapoishi hapakuwa mbali na Venue, nilimhoji maswali machache kuhusu hapo kwake na baada ya kujiridhisha nikamwambia haina shida, tutakwenda.

Ijumaa ilipofika kila kitu kilienda kama tulivyokubaliana...
Aliniagizia tu nyumbani kwake anapoishi yeye akatangulia nikabaki ofisini nikimalizia baadhi ya shughuli, ila kabla hajaondoka aliniuliza nini ninachopenda aniandalie... I like kitimoto(pork) nikijua hataweza as dini yake hairuhusu...akaguna then, akaniambia karibu!!

Kazi zangu za siku hiyo ziliisha, nikaanza kutafuta njia ya kwenda kwa E, ilinichukua mwendo wa kama saa moja na dakika 20 hivi kufika sikupata sana tabu nilivyofika maeneo aliyoniagizia nilimcall tu na kunikamilishia ramani baada ya kumweleza mazingira ya eneo nililokuwepo.

Nilifika kwa rafiki yangu huyo na time ilikuwa imeenda enda kweli, nilikaribishwa pale! Sikukutana na kitimoto, bidada alinikaribisha nyama roast na ndizi iliyopikwa vizuri, tulikula kidogo tu...kwa minajili yakushiriki party vizuri,

E anaishi na mdogo wake pamoja na mtoto wa Shangazi yake wanasoma ila wapo likizo. Tulikaa pale kama muda wa saa moja hivi, tukipiga story mbili tatu na wale madogo

E Alikuwa keshajiandaa, mida ikafika tukang'oa kuelekea kwenye function ya rafiki, halafu mpaka mida ile hata nilikuwa sijui ni ya nini as sikumuuliza tokea mwanzo, tumefika nikagundugua ni Sendoff party, haikunisumbua ilikuwa inafinyika kwenye ukumbi wa nje, tulitafuta sehemu tukakaa, na E mwenyewe alikuwa mwanakamati ila hakutaka sana kujihusisha.

Kwa uzuri wote hatutumii pombe, ikawa ni mwendo wa juice juice tu, kulikuwa na mambo mengi! hapo ishakaribia saa tano, wife uzalendo ukamshinda akini sms, "mi nalala". Nikamwambia poa " sleep well".
Akareply "leo unanisaliti?"...

Nikamjibu " kuna ubaya gani kwani we yako si umefungia?"...hakunijibu tena.
Kwenye tano na nusu mida hiyo E hakuwa tena sana close na mimi kwani alijikuja akiwajibika tena pale, nikamwambia naondoka! Aliniruhusu ila aliomba na yeye aondoke so nikampitisha kwake na mimi nikanyooka zangu, ulikuwa ni mwendo wa kama 45minutes hivi niliingia home kama saa sita na dakika 25...

Wife alikuja kunifungulia na wala hakuonyesha hata kukasirika, nikaingia zangu bafuni moja kwa moja, nadhani alitumia muda huo kuikagua simu yangu na aliangalia recently calls, hakukuwa na meseji wala chochote kibaya, wakati natoka namwona kashika simu yangu na yake kama vile kuna kitu alikuwa anacopy, kumbe wakati nimeingia bafuni iliingia meseji toka kwa E "ukifika unijulishe thank you for company"...

Bahati nzuri nimeisevu namba ya E kwa jina la position aliyonayo pale ofisini.
Wife alikuwa keshachukua ile namba! Alinichoniambia pale ni nisamehe Baba B, leo tulale pamoja naomba kweli. Nikamwambia give me a time please, akakomaa kweli kweli, nikamwambia kama keshaona kosa lake, akaniomba msamaha tena akaniambia ninakiri nilikosa.

Haikuwa shida kumbe wife shida yake ni atest tu kama siku hiyo nilipiga mzigo, tumeingia kitandani fujo nyingi utadhani katoka unyagoni siku iliyopita. Nikapiga mzigo fresh as nilikuwa sijaipiga for almost 3weeks.

Naona alijiridhisha pote hapo hakutaka kuniuliza nilikuwa wapi, pamekucha jumamosi huwa tunaenda job half day, nikiwa job namwona E anakuja huku akiongea na simu, akakaa karibu yangu alikuwa akiongea na wife akimwambia usiwe na wasiwasi kabisa mama, sisi ni marafiki tu, na nimekuelewa.

E alivyogungua tulikuwa kwenye mgogoro ndiyo maana nikaweza kutoka ile night na yeye alinitazama akaniuliza, unampenda mke wako? Nikamwambia sijui...akacheka. Nikaendelea na shughuli kama kawaida!!

Siku hiyo mchana pia nilibaki ofisini muda mrefu sana na E tukipiga story alinisimulia mambo yake mengi sana hasa ya kimapenzi. Aliniambia ana miaka 8 hajui ladha ya mapenzi ikoje, ana mchumba wake anakaa nje huko na anamwona kama mzinguaji, ameshikilia uchumba na sehemu ya mahari jamaa keshatoa lakini hataki kurudi kabisa kwa ajili ya ndoa so E anahisi huyu jamaa atakuwa na mke huko.

Nikamwambia ni kwanini asimfuate yeye, ananiambia huyo jamaa hataki hata kusikia, huwa anamwambia kuwa na subira kama wewe ni mke wangu utakuwa tu. Dahh, tulipiga story sana siku hiyo

Baadae E anaomba msaada, ninajaribu kumweka sawa kisaikolojia ninamwambia ni bora akaendelea kuvumilia kama amekaa 8 years na umri wake unakimbilia 32 bora aendelee kuvumilia, akianza hataweza kuacha, alikubali ushauri wangu japokuwa kishingo upande, hapa nilishangaa sana,

E ni mzuri kwa sura, umbo na akili, aliniambia pia lundo na vijana na wazee wanaomtokea kwa ofa kubwa kubwa na anazipiga chini, na ni kweli anajua kunata balaa(kuringa) haongei mara mbili, akisema sitaki ni sitaki, kuna hata baadhi ya staff mate wamejaribu sana bila mafanikio.

E aliniona mstaarabu sana as sikuwahi hata sikumoja kumtongoza wala kujipeleka kwake kwa ofa ya aina yoyote ile. There she became my friend, sasa ile jumamosi ikaisha nilirudi home kabla ya saa moja jioni. Wife hakuwepo, na yuko likizo na ni week end, hakwenda kazini,nilijiuliza atakuwa ameelekea wapi galfa namsikia akiingia kumbe alikuja kunilia rada pale ofisini.

Na bahati nzuri nilitoka late na E mara hii hatukutoka kwa pamoja nilimwacha. Kwa jumamosi nilitakiwa niwepo home saa kumi na nusu kama hakuna foleni ndefu, lakini stori nyingi zilinichelewesha kidogo.

Ha ha ha ha wife anakuja na ku apologize alidhani sikuwepo ofisini na alidhani ningetoka tena kama jana yake nirudi usiku. Nilimtaka atulie aache anachotaka kufanya. Jumapili mambo yalienda poa, baada ya church tulirudi home na kufanya usafi wa hapa na pale,

kwenye saa kumi na nusu hivi niliamua kumtext(whatsapp) E, mambo vipi best? ilichukua kama dakika 10 akajibu ni poa mzima? yaap! niko vyema...akaniambia uko bize? nikamwambia hapana... She requested me to join her kuna sehemu alikuwa, nikamwambia hapana, week end hii mke lazima ang'ang'anie nitoke nae nimemzoesha hivyo...
Akasema basi tutaongea kesho ofisini, nikamwambia poa poa. Siku ikaisha.

Sasa jana, jumatatu kama kawaida tuko job muda wa kufunga unakaribia E huyu hapa...stori anataka tupige story, nikamwambia not in the office this time, tulienda ka mgahama flani hapo town kati tuliongea sana, sikujua kama E alinivutia kwa kasi kubwa hivyo...80% of our stories zilikua mapenzi
Alinikumbushia lile swala la jumamosi na aliona kabisa kuwa mimi ndiyo mwanaume ninayeweza kusex naye then mambo yasiwe exposed aliniamini kwa kweli.

E siyo member wa Jf yeye ni Whatsapp na facebook tu, naandika hapa nikijua she won't see this, labda baadhi ya wafanyakazi wenzetu wanatujua.

Sasa uzalendo ulinishinda nilimuahidi kuwa tutafanya, na she told me yuko safe kuanzia wakati ule kwasababu alikuwa amemaliza mzunguko siku si nyingi, nikamwambia let do it tomorrow! Aliachia bonge la tabasamu atanihag, tukaagana, about hii mambo itafanyikia wapi tutapanga ofisini. Mchana wakati wa Lunch tuliondoka kwa minajili yakutokurudi tena yeye alianza baada ya kama nusu saa hivi mimi nikafuata sidhani kama kuna aliyegundua kuwa tuna uelekeo mmoja.

Alinitext njoo moja kwa moja home please!!
Nikamwambia home tena? Yes! Mhh uko serious? Yes! Njoo...nikamuuliza madogo vipi? Akaniambia hawapo wameenda kwa wazee na niliwa ahidi nitakwenda kuwachukua nikitoka job jioni.

Poa poa naja...Tupo ndani na E, alipitia msosi kwenye kamgahawa flani hivi tukapiga menu, ninawaza sana juu ya huo mtanange tokea nioe sijawahi kutoka nje ya ndoa yangu..

E alinikaribisha chumbani kwake, nilishangaa binti niliyekuwa namwona jasiri na mwenye userious ananikaribisha room kwake, tumekumbatiana pale, aisee nimefanya maandalizi yote kabisa almost 15minutes, namwandaa nikahakikisha kaiva vizuri, sasa nikamtanguliza juu...

Akawa anashuka kimshtuko kitu kisichokawaida eeh E kanjia ni kadogo mashine inapenya kwa tabu, ikapenya lakini hatulii hata kidogo anahema, na kuhangaika pale nikahisi anaumia but she only screaming... yaani hakutulia mpaka wakati nakaribia kumaliza 1st round anajichomoa chomoa ye anaona kama anakata kiuno, round inaishia kwenye mapaja yake...(niliona kama nimemchafua huyu malaika).

Round ya pili ilibidi nimweke yeye chini hakuangaika sana naona alianza kusikilizia penetration kwa uzuri na mashine yake niliisikilizia kwa kiwango fulani nilivyomwambia anyanyue miguu kidogo for further penetrating, mh inawezekana mileage bado ina km ndogo sana, kuzama sana haikuwezekana namaliza round ya pili kimagumashi tena.
She screamed sana, eti I fill it...wakati mi naona bado kabisa!!

Kilichonisikitisha zaidi sasa sikuweza tena kuendelea, nikaishia hapo.
Wife alinipigia ( mistake niliofanya i forgot to turn it off) na sio kawaida yangu kukaa mbali na simu kama nisingeipokea ni ugomvi.
Mke wangu alizungumza na mimi vizuri isivyo kawaida, alipokata simu kweli niliumia sana.

Nilimwambia E nampenda mke wangu, Nisamehe hapo nimekuchafua tu, sitorudia tena. Kinyume chake alinishukuru sana akaniambia yeye karizika vya kutosha na hata nivunjia heshima yangu popote.

Najiuliza wakuu huyu mtu nakwenda kuishije naye kukikucha kesho ofisi moja?
Nimeshindwa kulala naandika hapa wife kalala anadhani kazi za ofisi zinaniweka busy hadi time hizi, Afisa utumishi wetu ni mshikaji wangu, itakuwa vyema nikifanya mpango E ahamie idara nyingine?

Nishauri wewe mwenye hekima na busara niijenge ndoa yangu vyema.
 
Daah!
Mkuu umeipanga stori vizuri kishenzi yaan. Big up endelea kutupa mikasa yako hapa ikikutokea.
Ki ufupi tu ni ulichepuka na mkeo kwa kuwa bado hajajua basi piga kimya songa mbele hayo mambo ya kuteleza yapo.
Pili kuhusu E fanya mpango akuelewe msimamo wako na weka mipaka msije mkarudia tena kwa namna yoyte, japo ningekuwa mimi ndio wewe ningeomba kwanza mechi ya marudio nimuweke E vzuri halafu ndio nimuache moja kwa moja.
Big up kwa stori kali mzee

[emoji38] [emoji38] [emoji38] umeua
 
Hahaaaa.... Si mpaka aamue jamani... Can't force him to propose.. Pia hatuna muda mrefu sana kwenye mahusiano
Sasa hivi ukijifanya unasubiri for him to propose utazeeka u av to knw his plan akikwambia baada ya miaka miwili unasubiri ikifika ukaona hamna kitu kimbia..mwanaume akifikisha miaka 28 n hana mpango wa kuoa mwogope
 
wewe sio wa kwanza kuchepuka be a man with msimamo baasi hilo ndo litakuweka huru

chinekeeee
 
Niliposoma tu na kufika hapa nikaamua nisisome tena:

" na she told me yuko safe kuanzia wakati ule kwasababu alikuwa amemaliza mzunguko siku si nyingi, nikamwambia let do it tomorrow!

That means umelala naye bila kinga? huu ujinga sijui unatoka wapi kwa watu wazima.
Hahahahahahah Mkuu aliamua kuloweka! Hakuna jinsi maji ya mesha mwagia
 
Sasa hivi ukijifanya unasubiri for him to propose utazeeka u av to knw his plan akikwambia baada ya miaka miwili unasubiri ikifika ukaona hamna kitu kimbia..mwanaume akifikisha miaka 28 n hana mpango wa kuoa mwogope
Hahaaaa eti eee... Ila pia Mimi bado sijajiridhisha.... Bado tunasomana kwanza... Niko desperate so najipa nafasi zaidi ktk kufanya maamuzi sahii mkuu
 
Mwambie mkeo usaliti ulioufanya na kumwomba msamaha, mwombe msamaha E na katubu dhambi zako mbele za Mungu.
Roho yako itakuwa safiii. Kuna gharama kwa kila tunachokifanya.
 
Hahaaaa eti eee... Ila pia Mimi bado sijajiridhisha.... Bado tunasomana kwanza... Niko desperate so najipa nafasi zaidi ktk kufanya maamuzi sahii mkuu
Kusomana gani wakat tunda mmekula zaidi ya mara 50
 
Binge la storiii, uko vizuri mkuu. Upande ulichofanya ni upepo tu yatapita. Big up.
 
Mr Rabboni
Kwanza nikupe pole sana kwa uamuzi ulioambua kuuchukua ukiwa kama Mume na Msingi wa familia, nimesikitikika sana umekuwa mdhaifu na kuamua kuisaliti ndoa yako na mkeo, na pia kujionyesha uchi wako mbele ya mwanamke asiyestahili kuuona,

Nakushauri nikiwa nimeoa na imani yangu Mkristo, ndoa yangu ina 10 yrs, nilikuwa na uelewa mdogo tu kama wewe, na ilikuwa mechi za mchangani zikitokea napiga bila shida
Naomba nikushauri kwani niliyekuwa nimepotea kama wewe na sasa nimeyajua makosa yangu na nimetubu mbele za mola Wangu na nimebadili mwenendo wa maisha yangu for Good.

Nilikiwa na mechi mchangani driving force ilikuwa inatoka kwa wife kwani yake alikuwa akiifungia na nikikutana na "E" ananifungulia. Hamu na Wife ilikuwa imepungua sana. Ilikuwa ni big mistakes nilikuwa nafanya. na hii ni kutokana na kiburi na ubinafsi wetu wanaume

Kitu ambacho sikukijua ni kwamba pale ambapo problem inatokea wanandoa mkae muongee kwa pamoja na mkubaliane kutokukubaliana, Siku moja nikakaa nae kwa upole sana nikamwambia problems zake na yeye akanieleza problems zangu siku hiyo tuliongea almost usiku kucha, na hapo tayari tuna 3 kids nikaja kupata ufahamu. Since that day namuona mke wangu ni watofauti sana na kila siku inavyozidi kwenda nazidi kumpenda. Nikaagana na mwili wangu na mindset yangu mambo ya mechi za mchangani sasa basi. we now enjoying each other kwa speed 120kh

Naomba unisikilize Mr Rabbon na wana JF wenye tatizo kama lako. Please note hautaweza badili tabia ya mwenzako kwa kutoka nje, utaleta maradhi na madhambi mengi sana kwenye familia yako. ukikusoma bibilia angalia reference zilizoko kuanzia Mwanzo mpaka Malaki utakugungua kwamba pale usaliti unapotokea katika ndoa anayeadhibiwa na Mungu ni mwanamme sio mwanamke mfano Daudi..do the home work utashangaa na kustaajabu..

Unachotakiwa kufanya ni kutubu kwa Mola wako na kwake E" kwa kumchafua na kumuweka kwenye hukumu ya Mungu, Pili ukaombe radhi kwa Mkeo kwa ulichokifaanya na uahidiane na nafsi yako kwamba hutorudia tena.
Tatu usiogope kuongea na mkeo kuhusu mienendo wenu kimapenzi (sex appetites) Mtume Paulo katika wakorintho anasema Mume ni mali ya Mke na Mke ni mali ya Mume nini maana yake? kile unachofurahia kimapenzi mkeo ndio wakukufanyia and otherwise. ukigundua siri hiyo utamfurahia ndoa yako sana..

Nakutakia amani ya Bwana.
 
Back
Top Bottom