Naongea hivi kama muhanga wa suala la ajira za uwalimu, tokea yatangazwe majina ya uwalimu ni wiki 3 ivi zimepita na wahusika wakuu ni tamisemi kama wizara husika.Baada yakutangazwa aya majina sikuona jina langu nikaenda pale ofici za tamisemi tukaambiwa tuandike majina kwa wale tuliokosa ajira tukapewa taarifa kuwa watatangaza kwenye mtandao cha kushangaza pale tulikuwa vyuo tofauti tofauti cha ajabu leo naingia kwenye website yao nayaona majina ya st.john tu.Sasa sisi wa vyuo vingine atustahili hii ajira na matatizo yetu yanafanana kulikoni mi nimemaliza SAUT-morogoro JUCO.
pole sana ndg yangu imeniuma sana kufahamu kuwa kumbe kuna mwenzangu aliyekosa ajira toka JUCO, nami nimemaliza hapo mkuu, usikate tamaa, nakushauri endelea kufuatilia hapo wizarani mambo kama hayo yanatokea na yanaweza kurekebishika. nakuombea ufanikiwe mkuu.
Naongea hivi kama muhanga wa suala la ajira za uwalimu, tokea yatangazwe majina ya uwalimu ni wiki 3 ivi zimepita na wahusika wakuu ni tamisemi kama wizara husika.Baada yakutangazwa aya majina sikuona jina langu nikaenda pale ofici za tamisemi tukaambiwa tuandike majina kwa wale tuliokosa ajira tukapewa taarifa kuwa watatangaza kwenye mtandao cha kushangaza pale tulikuwa vyuo tofauti tofauti cha ajabu leo naingia kwenye website yao nayaona majina ya st.john tu.Sasa sisi wa vyuo vingine atustahili hii ajira na matatizo yetu yanafanana kulikoni mi nimemaliza SAUT-morogoro JUCO.
taja jina lako nikuangalizie umepangwa wap nipo tamisemi hapa
Tuzidi Kumuomba Mungu Ili Watukumbuke.