Naongea hivi kama muhanga wa suala la ajira za uwalimu, tokea yatangazwe majina ya uwalimu ni wiki 3 ivi zimepita na wahusika wakuu ni tamisemi kama wizara husika.Baada yakutangazwa aya majina sikuona jina langu nikaenda pale ofici za tamisemi tukaambiwa tuandike majina kwa wale tuliokosa ajira tukapewa taarifa kuwa watatangaza kwenye mtandao cha kushangaza pale tulikuwa vyuo tofauti tofauti cha ajabu leo naingia kwenye website yao nayaona majina ya st.john tu.Sasa sisi wa vyuo vingine atustahili hii ajira na matatizo yetu yanafanana kulikoni mi nimemaliza SAUT-morogoro JUCO.