Nimeumizwa sana na Hili la TAMISEMI:

Nimeumizwa sana na Hili la TAMISEMI:

mcharge

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
248
Reaction score
49
Naongea hivi kama muhanga wa suala la ajira za uwalimu, tokea yatangazwe majina ya uwalimu ni wiki 3 ivi zimepita na wahusika wakuu ni tamisemi kama wizara husika.Baada yakutangazwa aya majina sikuona jina langu nikaenda pale ofici za tamisemi tukaambiwa tuandike majina kwa wale tuliokosa ajira tukapewa taarifa kuwa watatangaza kwenye mtandao cha kushangaza pale tulikuwa vyuo tofauti tofauti cha ajabu leo naingia kwenye website yao nayaona majina ya st.john tu.Sasa sisi wa vyuo vingine atustahili hii ajira na matatizo yetu yanafanana kulikoni mi nimemaliza SAUT-morogoro JUCO.
 
hawa jamaa wana vituko,utackia taarifa zenu hazikuletwa na vyuo vyenu,je na wale wa diploma and certificate ambao matokeo yao yanaandaliwa baraza na ajira zao zinatoka moja kwa moja toka huko inakuwaje wameachwa?mi pia inaniuma sana na ninackitika kuwa mhanga wa hli jambo
 
Jina lenyewe tu mkuu linaifanya wizara ifanye kazi kichokoraa-Tawala za mikoa na Serikali za Mitaani(si ni sawa tu na uchokoraa?)

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Naongea hivi kama muhanga wa suala la ajira za uwalimu, tokea yatangazwe majina ya uwalimu ni wiki 3 ivi zimepita na wahusika wakuu ni tamisemi kama wizara husika.Baada yakutangazwa aya majina sikuona jina langu nikaenda pale ofici za tamisemi tukaambiwa tuandike majina kwa wale tuliokosa ajira tukapewa taarifa kuwa watatangaza kwenye mtandao cha kushangaza pale tulikuwa vyuo tofauti tofauti cha ajabu leo naingia kwenye website yao nayaona majina ya st.john tu.Sasa sisi wa vyuo vingine atustahili hii ajira na matatizo yetu yanafanana kulikoni mi nimemaliza SAUT-morogoro JUCO.

pole sana ndg yangu imeniuma sana kufahamu kuwa kumbe kuna mwenzangu aliyekosa ajira toka JUCO, nami nimemaliza hapo mkuu, usikate tamaa, nakushauri endelea kufuatilia hapo wizarani mambo kama hayo yanatokea na yanaweza kurekebishika. nakuombea ufanikiwe mkuu.
 
Komekaone:asante mkuu ila ngoja tuwasikilizie watasemaje
 
Msijali unaweza shangaa majina yakatangazwa j3 so kuwa mvumilivu subiri
 
sasa 2ngefanyj?inabidi 2subirie walicho2ahidi,maana walituambia 2andike majina ye2 na 2mefanya hvo sasa cjajua kama walikuwa wanafanya sensa ama vipi hawa tamisemi
 
Lakini pengine Mwalimu wamekushtukia! Jinsi unavyojieleza, uandishi wako, lugha yako inatia shaka kama unaweza kufundisha! Lakini pole labda ndio walimu wa staili yako tunaowasubiria kwenye soko, wakumlaumu nani?
 
Korogwe ttc karibuni 195 hatukupewa ajira tuliwahi kufika TAMISEMI ofisi za Dar es salaam tuliambiwa tuandike majina cha ajabu wametoa ST.JOHN pekee kwanini lakini?????!!!!!!.
 
Cha msingi TAMISEMI watoe tamko kiukweli tumebaki njia panda kitaa ni kugumu sana.
 
Ila mwenzenu Munkari anataka kukimbia kazi,kisa mazingira magumu wakati wengine mnataka.
naomba mfanikiwe wote mliokosa
 
Last edited by a moderator:
pole sana ndg yangu imeniuma sana kufahamu kuwa kumbe kuna mwenzangu aliyekosa ajira toka JUCO, nami nimemaliza hapo mkuu, usikate tamaa, nakushauri endelea kufuatilia hapo wizarani mambo kama hayo yanatokea na yanaweza kurekebishika. nakuombea ufanikiwe mkuu.

vp mkuu kwema lkn !, ushafika kituo ?
 
Naongea hivi kama muhanga wa suala la ajira za uwalimu, tokea yatangazwe majina ya uwalimu ni wiki 3 ivi zimepita na wahusika wakuu ni tamisemi kama wizara husika.Baada yakutangazwa aya majina sikuona jina langu nikaenda pale ofici za tamisemi tukaambiwa tuandike majina kwa wale tuliokosa ajira tukapewa taarifa kuwa watatangaza kwenye mtandao cha kushangaza pale tulikuwa vyuo tofauti tofauti cha ajabu leo naingia kwenye website yao nayaona majina ya st.john tu.Sasa sisi wa vyuo vingine atustahili hii ajira na matatizo yetu yanafanana kulikoni mi nimemaliza SAUT-morogoro JUCO.

taja jina lako nikuangalizie umepangwa wap nipo tamisemi hapa
 
Back
Top Bottom