Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu yupo walimu wenzangu,atafanya tu....
Mwalimu wetu:mtuombee
Unajua mcharge 1 may siyo mbali tatizo hawa majamaa wataanza tena danadana na roho za watu,ila tuombe mungu atatusaidia
aaaaaaah wacha bana
Haya bhana,we uko mkoa gani TATIANA?
Unajua mcharge 1 may siyo mbali tatizo hawa majamaa wataanza tena danadana na roho za watu,ila tuombe mungu atatusaidia
Naishi huku kijijini JamiiForums
Ilo neno lakini tuvute subrira yani nilivyochoka uku kitaa hapana chezea
loveness:ni kweli tar 1 ni mbali lakini tutafanyeje ndugu yangu,sisi watoto wa wanyonge
Haya ngoja tuendelee tusubiri.