Nimeumizwa sana na Hili la TAMISEMI:

Nimeumizwa sana na Hili la TAMISEMI:

Labda wanaogopa lawama maana sasaivi wanajipanga kutupeleka mipakani na sehemu cronic ambazo watu wameyakimbia,lets wait
 
nimedokezwa na mtu wakaribu toka makao makuu dodoma Tamisemi kuwa sisi tuliokosa ajira awamu ya kwanza majina yatatoka kuanzia tarehe 1 may
 
Unajua mcharge 1 may siyo mbali tatizo hawa majamaa wataanza tena danadana na roho za watu,ila tuombe mungu atatusaidia
 
Unajua mcharge 1 may siyo mbali tatizo hawa majamaa wataanza tena danadana na roho za watu,ila tuombe mungu atatusaidia

Ilo neno lakini tuvute subrira yani nilivyochoka uku kitaa hapana chezea
 
Unajua mcharge 1 may siyo mbali tatizo hawa majamaa wataanza tena danadana na roho za watu,ila tuombe mungu atatusaidia

Tarehe moja ni mbali sana, na kwanini wasubiri mpaka tarehe moja? huko TAMISEMI kila mtu anatamka lake, mara baada ya hawa awamu ya kwanza kuripoti, wengine wanasema kwenye tarehe ishirini, sasa sijui kati ya hao watoa tetesi toka wizara husika nani mkweli? Au ndo wanajisemea tu.
 
loveness:ni kweli tar 1 ni mbali lakini tutafanyeje ndugu yangu,sisi watoto wa wanyonge
 
hivi vitarehe vinavyo tajwa mara kabla ya tarehe 20/4,mara wiki ijayo mara may mosi zote hizi kwangu naona ni danganya toto,ni kama vile kuku anavyo wakumbitia vifaranga wake nakuwaambia subiri mtanyonya kesho hivyo hivyo mpaka siku zinakwenda na mpaka tunasau nakukata tamaa,KWANINI TAMISEMI NA WIZARA YA ELIMU WASITOE TAMKO,KWANINI TURIDHISHWE NA FUNUNU??!!,mimi nitaridhika pale tu watakapo toa tamko hatawakisema ajira sisi tuliokosa ni october.
 
Tamisemi haina maana kwa wadau mheshimiwa rais ingebidi tuu atumie busara zake ivunjwe
 
ni shida jamani,nyie tamisemi ina maana tunayosema ni kelele za koridoni?
 
Vumilia ndugu yangu nami natokea hapo JUCO ila vumilia wanasema mpaka tarere 15, mimi ni darfuu member tupo pamoja
 
Back
Top Bottom